Habari wakuu.. Kama inavoonesha hapo katika kichwa cha habari.
Nimetimiza pesa yangu katika Adsense na nataka kuitowa kwa njia ya Western Union, Swali langu je nini chakuzingatia mpaka pesa inifikie?
Na ikishanifikia naenda kwa agent na kumpa vielelezo gani ili anipe pesa yangu cash...
Mzee kwanza nashukuru sana kwa msaada. Swali langu je naweza kufungua payoner then bila ya kuwa na kadi yao nikapokea pesa kwenye akaunt yangu na kuhamisha kwenye local benk yangu iliyoko nchini?
Sent using Jamii Forums mobile app
inategemea wapi unapotoa picha yako, kama ni kwenye website zitoazo free photo without copyright mfano Pexel.com hawa wako vizuri picha zao zina quality sana.
Kama program unatumia kutengezea picha basi iwe ni Picsart au Pixelab
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr mchoon kajibu vizuri sana.. Chakuongezea hapo ni kwamba kama blog yako ni kwaajili ya kutengeneza brand na kujulikana katika jamii basi ni vizuri kutumia Adsense.
Kwa mapato pekee tumia propellerads maana wako vizuri na wanasapoti pop under na onclick hii ikiwa njia nzuri ya kuongeza CPM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.