Recent content by Salum Hamad All

  1. S

    Sakata la Mtumishi wa Serikali kutoka Equatorial Guinea

    Hizo camera mfunge hadi choon lakin jamaa kashafanya yake
  2. S

    ACT WAZALENDO: Serikali iweke wazi ni matengenezo ya aina gani na gharama gani yatakayofanyika katika viwanja vya Amani na Gombani

    Hela za walipa kodi zinapigwa kiulain Uwanja ulitengezwa na ukakamilika wanarud tena kutengeza nini au walisahau kuweka vyoo
  3. S

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Hakuna kiongozi sahihi wa kumchagua ndio maana wente akil hubaki nyumban na familia zao Kiongozi anapanda jukeaan na kushinikiza kuwa akichaguliwa yy atatatua kero zote mtaan na atasimamia kila kitu Tena kila mwananchi wa mtaa huo atapata tank 1 la maji la lita 300 Ila akishakalia kiti...
  4. S

    DOKEZO Kigamboni: Shule ya Msingi Mumba ina Walimu wanne, baadhi yao hawafiki kazini takriban siku 4 kwa wiki

    Kwanza shule huonhaijaelezwa ina idadi ya wanafunz wangap Na mwalimu wa kujitolea ana takriban miaka 2 ni nini kinafanya wasimpe ajita kwenye shule hyo? Na hao waalim ambao wana mishahara halafu hawafiki shulen watachukuliwa hatua au hawana hatia kwavile ni makada wa ccm
  5. S

    Mwanafunzi wa Kidato cha 3 ahukumiwa kuchapwa viboko 12 kwa kumlawiti mwenzake

    Hawa majajo wa siku hz ni kama askar tu ukiwa na hongobmfukon basi huna kesi Miaka 16 sio mtt ni kijana hyo alistahil kwenda gerezan ili iwe fundisho kwa wengine Sasa hapo anatoa adhabu nyepesi maana yake anahamasisha ubakaji uendelee
  6. S

    Kafulila: Mitatu ya Rais Samia Uchumi ulikua kutoka US$67bil hadi US$85bil sawa na Ongezeko la TZS 46.8T mnaoshangaa deni la TZS 42T someni hii

    Kumbe uchimi umeongezeka na hamsemi Magari yaliyonunuliwa na serikali ya awamu hii ni mengi mno kabkati ya hayo asikimia 65% yameegeshwa kwenye taasisi husika kwa kukosa mafuta Na asikinia 35% ndio yenye mafuta ila hayatembea kutatua kero za wananchi bali yanazurura mitaan yakiwa na dereva...
  7. S

    Nina mashaka na ujauzito wa mpenzi wangu

    Usijiulize maswali mengi ukirud hme nenda nae hoapitali piga DNA utapata majibu Maana hawa viumbe siku hz hawaeleweki
Back
Top Bottom