Recent content by Salum Dege

  1. S

    Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

    Nalaani mauwaji yasiyo na hatia na kwa vile wamedhulumia haki yao wataikuta siku ya hukmu. Lakini kama hujapata kibali cha maandamano kwa nini ukajitie kwenye mkumbo. Kutumia risasi za mpira zilipendwa weee ukileta ubishi utatangulia tuuu. Pumbaff Ila sio kwa waliouwawa juzi maana wao hawakuwa...
  2. S

    Natamani kupenda tena

    Me nimeshakupenda hivyo hivyo ulivyo. Kwa vyovyote vile me nakupenda. Nipo Zanzibar nitafute private. Nampenda mtu alietendwa coz I believe she knows the the impact of kutendwa she will not do to me. Please come to my personal contact
  3. S

    Spika Ndugai ajiridhisha wabunge 8 wa CUF kufukuzwa uanachama. Asema wamekosa sifa za kuwa wabunge

    Sisi watu wazima tushajua nini kinaendelea Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    DAR: Tundu Lissu aendelea kushikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana. Waandishi watishwa!

    Hao ni wanasiasa utajiumiza kichwa bureee labda na wewe uwe mwanasiasa na wa chama fulani ili uweze kuguswa sana na kinachoendelea. Sisi wengine ni wapigaji kura kisha ni wafatiliaji wa ahadi za tuliempigia kwenye siasa hujiweka pembeni kabsaaaaaa. Poleni msioisha siasa yaaani siasa tangu...
  5. S

    Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

    Kazi na dawa haina maana masaa 24 to 27 wewe ni kazi tuu ndio mtasema anakurupuka kwenye maamuzi kumbe hakua na muda wa kupunzisha akili[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  6. S

    Mapya yaibuka: Maafisa wa TMAA walipewa hela ili Smelter isijengewe Tanzania

    Tumeibiwa vya kutosha sasa tusimame kwa pamoja tusiingize U CCM wala UKAWA . hii ni issue ya kinchi sisi ndio tunaoathirika zaidi. Utashangaa watu kama sio wazawa wala hawana uchungu wa nchi hata kidogo. Tumemuogope Mungu TUJUE KUA MUNGU ATAKWENDWA KUTUULIZA KWA KILA NUKTA YA MAISHA YETU
  7. S

    Mange Kimambi azidi kuwa Maarufu. Kaja na App yake ya Simu.

    Watu huingizwa kwenye mtego bila kujijua hata wakishtuka huwa washanaswa
  8. S

    Rose Muhando ahamia Kenya

    Mtu akiishiwa huwa hasemi kama kaishiwa husepa tuuu bila kutoa sababu
Back
Top Bottom