Sio mlimani city pekee. Hata hapa Ubungo Plaza huyo kijana wa kipemba na kundi lake walianza kuiba site mirrors na magari ya watu. Bahati nzuri Ulinzi wa hapa ukawashtukia na kuweka ulinzi mkali. Mpaka leo tatizo hilo limekwisha kabisa. Tatizo la mlimani city ni la walinzi kushirikiana na wezi...
MOI washenzi sana. Hata mama yangu wamemtia kilema cha mguu cha maisha tena baada ya kulipa mamilioni ya pesa kwa ajili ya kufanyiwa operation ya kuunga mguu wake uliovunjika kwenye kiwiko cha mguu. Baada ya operation hiyo ambayo mpaka sasa ni miaka mitatu, mguu bado unauma na Mama anachechemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.