Mkuu wa mkoa wa Arusha hajaamishwa, kumekuwepo na uzushi kwenye mitandao ya kijamii na kwenye simu kupitia sms kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ndg Magesa Mulongo ameamishwa. Sio kweli yupo Arusha anaendelea na kuwa mtetezi wa wanyonge kila kona ya arusha, wazee wanasema Mulongo anatosha Arusha, ni...
mpaka saa uchaguzi wa arusha kata 4 Watu watatu kata ya KIMANDOLU wamekamatwa na vitambulisho feki (stashahada)vya kupiga kura baada ya maojiano wamesema wao ni wafuasi wa chadema kadi izo wamepewa na viongozi wao .
Ivyo ivyo kata ya ELERAI watu wanne wamekamatwa wametiwa nguvuni na jeshi la...
NGURUDOTO upo sahii kabisa ila MBOWE ni kichaa kabisa yani amesababisha mahafa alafu anakimbia na lema jana wamesema hawana ushahidi kabisa wakiwa na viongozi wa police walipo toka anwaruka police tena jamani huu ni ukicha ulioje hawafai kabisa kwa maendeleo ya wananchi ni sawa na wanyama
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA...
MR lungio ujui unachangia nini mwalusamba kwa sasa amekuwa nuru kwa vijana na watu wazima pls kubaliana na ukweli najua maisha yako yalivyokuwa magumu sana hapa mjini hii inatokana na kauli zako za kinafiki zisizo na hata chembe ya ukweli badilika usiwe mshabiki usiejielewa LUNGIO najua roho...
chodola wewe ninajua uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana na post hii umeandika ukiwa na kundi la watu wewe sindo mke wa lowasa na umepewa iyo kazi kumchafua mnec wa arusha mjini ninajua ivyo na mnec huwezi kumfananisha na wewe kundi la lowasa ujira kula nyama mnec anakubalika kwa kiasa...
mkuu wa wilaya ya Lushoto Majid Mwanga aonyesha ujana wake kwenye maandalizi ya mapokezi ya mwenge ahamasisha vijana kwa wingi kuliko wazee kwa undaji wa vikundi vya vijana .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.