Recent content by salisalum

  1. salisalum

    JamiiForums Tanzania Makamu ACT Bara Isihaka Mchinjita: Kusaini tamko la pamoja Zanzibar haimaanishi kuwa ACT Wazalendo imeingia Serikalini

    Anachokataa ni nini hasa? Kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ni jambo la kikatiba si jambo la majadiliano. Waache kurukauka kama choroko zilizokataa kuiva.
  2. salisalum

    JamiiForums Tanzania Kupatikana tena kwa jukwaa la JamiiForums nchini Tanzania - shukrani kwa uongozi wa JF

    Tunawashukuru sana uongozi wa JamiiAfrica kwa kupigania hili jukwaa la kitanzania kwa ajili ya watanzania. Kufungia jukwaa ilikuwa sawa na kutuziba pumzi. Tunaiomba serikali iache utaratibu huu. Kama kuna shida iwe inatatuliwa kwa mazungumzo bila kuathiri upatikanaji wake. Wanasiasa walioko...
  3. salisalum

    JamiiForums Tanzania Who is in control? Nani hasa anatawala nchi yetu?

    Ndugu Watanzania naomba tutafakari hii hoja iliyoko kwenye swali, nani hasa kwa sasa anaongoza nchi yetu? Kwa nini nimeleta hii hoja? Nina sababu kadhaa ambazo nitazitanabaisha hapa chini: 1. Ndugu Samia Suluhu Hassan akiwa bungeni mara baada ya kujitangaza mshindi katika uchaguzi ambao...
  4. salisalum

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM haina aibu wala haijali kushiriki uchaguzi

    Tangu nianze kupiga kura wakati wa chama kimoja hadi leo sijawahi kuona uchaguzi kama wa mwaka huu. Uchaguzi wa kihuni na uhuni huo unafanywa waziwazi. Watanzania inabidi ifike mahali tuseme sasa basi. Bora watawale wakijua hawana mandate ya Watanzania. Tuwakatae. Hakuna mtu wa kutulazimisha...
  5. salisalum

    JamiiForums Tanzania Mabinti vyuoni wanachapika sio masihara

    Pole!
  6. salisalum

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

    Ukibofya sehemu ya kuchagua mkoa au hata wilaya hakuna orodha inayotokea.
  7. salisalum

    JamiiForums Tanzania Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na kupotezwa?

    Ni kikosi kazi, wako polisi na TISS. Wakati wa Magufuli walikuwemo pia JWTZ, Magereza, Jeshi usu la wanyamapori, na TRA.
Back
Top Bottom