Recent content by Salimu Kajembe

  1. Salimu Kajembe

    SoC01 Lishe bora ndio msingi wa maendeleo ya jamaii na Taifa kwa ujumla

    Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi na nguvu kubwa sana kupambana na changamoto zilizozoeleka ambazo ndio zinaonekana kwamba ndio viini...
  2. Salimu Kajembe

    SoC01 Usiamini mtu wa aina yoyote Yule, hata wazazi wako waamini kwa kiasi

    Napenda Kuihusia nafsi Yangu kama ninavyokuhusia wewe hapa Leo. Kwenye maisha yako ya sasa unayoishi leo,na utakayoishi kesho,keshokutwa na Milele Usije ukaamini MTU. Usiamini mtu wa Aina yoyote Yule,hata wazazi wako waamini kwaa kiasi,ila tofauti na wazazi usiamini MTU kabisa hata kwa 1%...
  3. Salimu Kajembe

    Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change)

    Mkuu kwnye kipengele cha taarfa kwangu nimeona kwmba "YOU HAVE AWARDED TROPHY" ni ikasema "post a message somewhere to get your trophy's" ,pia nimeona kwmba machapisho Yangu yepata likes nyingne 250,nyingne zaidi ya 500 ,nyngne wanasema imewavutia watu zaidi ya 500, SASA sijaelewa Yani kwasbbu...
  4. Salimu Kajembe

    SoC01 Lishe Bora ndio Msingi wa Maendeleo ya Jamii na Taifa kwa ujumla

    Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi na nguvu kubwa sana kupambana na changamoto zilizozoeleka ambazo ndio zinaonekana kwamba ndio viini...
  5. Salimu Kajembe

    SoC01 Ndoa na Mahusiano: Yupi mke au Mume bora?

    YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO) Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya mahusioano na ndoa na namna ya kuweza kuwa na maamuzi sahihi juu machaguo sahihi kwenye mahusiano yao/ndoa...
Back
Top Bottom