SoC01 Usiamini mtu wa aina yoyote Yule, hata wazazi wako waamini kwa kiasi

Stories of Change - 2021 Competition

Salimu Kajembe

New Member
Nov 5, 2018
4
4
Napenda Kuihusia nafsi Yangu kama ninavyokuhusia wewe hapa Leo.

Kwenye maisha yako ya sasa unayoishi leo,na utakayoishi kesho,keshokutwa na Milele Usije ukaamini MTU.

Usiamini mtu wa Aina yoyote Yule,hata wazazi wako waamini kwaa kiasi,ila tofauti na wazazi usiamini MTU kabisa hata kwa 1% (Aslimia Moja).

Najua umeshafanya makosa mengi Sana,umeshaumizwa Sana,umeshadhulumiwa Sana,Umeshayeswa Sana,Umesharudi nyuma Sana kwa ajili ya kiamini Rafiki ako,Ndugu yako,Jirani yako na hata Mpenzi wako,Kwa makosa machache uloyafanya ukaumizwa,kulizwa na kurudishwa nyuma Usirudie tena hayo makosa.

Nataka ufaham,Huyo Rafiki ako unaempenda Sana ipo siku atakuwa ndio adui yako Namba Moja Kuliko hata Esrael mtoa roho,huyo Jiran yako unampa Siri zako zote IPO siku hutatamani hata kumuona machini mwako Kwa ambacho amekufanyia.

Hebu kaa vizuri unielewe,ikiwezekana kunjwa maji kidogo usome Kwa Makini Sana kwasabbu najua siku moja utakumbuka andiko hili.

Huyo mpenzi wako unaempenda kiliko hata afya yako,huyo unaeamini Atakuoa/Utamuoa,huyo unaemani bila yeye huwezi pata usingizi,huyo unaemani hakuna zaidi Yake,huyo anaekufanya uongee uongo hata Kwa wazazi wako kwa ajili ya kumtetea na kumpa sifa,huyo unaeamni hata ukifa Leo uwepo wake kwako ndio utakupeleka peponi,huyo unaemini ni bora Sana hata kumsahau Mungu wako Muda wa ibada uko nae umemkumbatia,nakuhakikisha huyo ""NDIO ADUI NAMBA MOJA WA MAISHA YAKO" huyo ni nyoka kubwa lenye sumu kali unalotembea nalo,nalolala nalo,na unaloishi nalo.

Usihadaike eti kwasababu amesoma Sana,au mtoto wa Hekhee/Mchungaji/Padre,au ana Pessa sana/Kiongozi/Mtumishi/Mrembo/Handsome,Huyo ndio adui Namba moja wa Manisha yako.
Tumia muda huu,Fanya akili yako,elimu yako,Pessa zako na Muda wako na Hisia zako zote tumikia jamii,Jamii ina matatzo mengi sana,weka hisia zako huko,ifanye jamii ndio Mpenzi wako,ndio rafiki yako na ndio ndugu zako.

Jamii huwa haisaliti ila Mpenzi/Rafiki/ndugu watakusaliti muda wowote na watakusahau,Jamii ina baraka,na ulitukia jamii unaacha alama.
Jamii hatakutupa na jamii haisahau fadhila.

By.....
Salim J.Kajembe
 
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom