Kwiiii kwi kwi!!! Mbavu zangu!
Kwa hiyo ulipoandika "kodi" ulimaanisha "sales tax" hata ukaamua kuniletea "copy & paste" za kuonyesha tofauti ya sales tax na VAT?
Ujanja mwingi, mbele kiza!
Hili suala la Escrow lililetwa bungeni hasa na Zitto Kabwe kupitia mgongo wa David Kafulilla ambaye hapo zamani walikuwa maswahiba wa karibu kabla hawajageuziana vibao. Zitto Kabwe alikiri Bungeni kuwa aliwahi kufuatwa na balozi wa Uingereza akiwa na ujumbe wa Standard Chartered Bank (SCB). Japo...
Unaleta ubishi wa kitoto. I don't have for it.
Soma statement hizi mbili za Septemba 17, 2015 na Septemba 26, 2015.
MCC Statement on Board of Directors' Discussion of Tanzania at September 2015 Meeting
MCC Statement on Tanzania Passing the FY 2016 Control of Corruption Indicator
Kama una jipya...
Hatua zilichukuliwa na MCC waliridhika waka-release funds. Katika hatua zilizochukuliwa kulikuwa hakuna kurudishwa kwa fedha za Escrow lakini pia MCC wali-release fedha. Kuiondoa kabisa Tanzania kwenye mpango wa MCC ulitokana na uchafuzi wa uchaguzi wa Zanzibar na sheria ya mitandao. Unaweza...
Domo Kaya, Suala la umiliki wa IPTL ni suala lililokuwa mahakamani. Bunge linapoamua kujadili na kufikia maamuzi masuala ambayo yako mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Kuhusu barua ya Standard Chartered Bank, you are missing my point. Kile kilichopendekezwa na mpango maalum ulioitwa...
Anayepima kwa kijiti haya maji marefu ni wewe, siyo mimi. Mimi nimeweka hoja zangu, kama una hoja mbadala unakaribishwa. Kama huna, maoni yako ambayo ni haki yako, kaa nayo wewe.
Hakuna sehemu yoyote ya Ripoti ya CAG inayosema kuwa fedha zilizokuwa kwenye Escrow ni fedha za umma. PAC inajikanganya, mara inasema fedha za Tegeta Escrow ni fedha za umma, mara inasema huenda kwenye pesa hizo kuna fedha za umma kwa sababu kuna kodi ndani yake, na mara nyingine inadai kuwa...
Usichanganye mambo. Fedha za MCC zilizuiwa kutokana na uchafuzi wa uchaguzi wa Zanzibar. It has nothing to do with Escrow.
Misaada iliyozuiwa na baadaye kuruhusiwa baada ya MCC ni ile ya Waingereza na nchi wahisani wengine ambao walishawishiwa na ubalozi wa Uingereza. Ubalozi wa Uingereza una...
Acha uongo, hakuna Ripoti BATILI kama unavyodai. Ripoti ya PAC iliiitwa "TAARIFA YA KAMATI KUFUATIA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KATIKA AKAUNTI YA TEGETA ESCROW ILIYOKUWA KATIKA BENKI KUU YA TANZANIA"
Huo UBATILI unaoudai wewe uko wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.