Recent content by saligongo

  1. saligongo

    Series (Special thread)

    Mwenye APPs za kudownload kwa kompyuta atupie hpa please
  2. saligongo

    Series (Special thread)

    Oya BOSS,naomba App ya kudownload movies & series kwa PC
  3. saligongo

    ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

    Kwa kuwa wewe cyo mwalimu na hujui lolote katika haya mambo,Bora tukuache ule mchicha na mlenda uongeze uoni ucwe hafifu!!
  4. saligongo

    ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

    Utakua cyo mwalimu wewe,hujui ulinenalo,m'mungu akusamehe!!
  5. saligongo

    ITILIMA-MVUTANO WA KUKATWA CWT NA CHAKUHAWATA KWA PAMOJA WAIBUA SINTOFAHAMU KWA WALIMU

    Katika Hali isiyo ya kawaida baada ya walimu wanachama wa CHAKUHAWATA kujikuta wamekatwa mara mbili kwenye mishahara yao ya mwezi huu JULY baada ya MAMA kufanya yake,walimu hao wamejikuta wanakatwa vyama vyote ada ya uanachama yaani CWT na CHAKUHAWATA ilihali walishahama chama hicho ( CWT) kwa...
  6. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    KAMA UNAITAKA PESA BASI CHUKUA HII CODE UTANISHUKURU BAADAE 👇👇👇👇 826950 Sportybet
  7. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C318DA Sportybet Ukichanika nakurudishia pesa yko
  8. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bayern Leverkusen Dortmund Arsenal 😭😭😭😭
  9. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni kwamba naanisha "Referee wa kati" Alikwenda kuangalia yy mwenyew VAR?? km ni YES mkeka wamenikosesha na km HAKWENDA basi sahihi kuLOOSE Ko nawaomba waliochek game wanipe mrejesho
  10. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    [emoji95][emoji95]Msaada please!!![emoji95][emoji95] [emoji117]Mlioangalia mechi ya ARSENAL hivi main referee aliangalia VAR au hakuangalia coz niliweka MAIN REFEREE TO WATCH VAR YES afu nimekosa na vyanzo vyangu vinaonesha aliangalia VAR ko naomba msaada ili nijue nimekoseshwa mpunga au vp
  11. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada tafadhali Mwenye mawasiliano na HELABET tafadhali either email or phone number Helabet wanataka waniamshe kichaa mkeka umetiki wameweka LOSS bullshit dadeq
  12. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    TODAY TIPS [emoji95][emoji95][emoji109] ALL UEFA champions league [emoji95][emoji95] Every match Total cards over 3.5 Usije sema nimekula peke yangu[emoji120][emoji120] Keka la bure hilo halina CoDE [emoji120][emoji120][emoji120][emoji95][emoji95][emoji109][emoji109]
  13. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Msaada kujisajili na helabet coz code haitumwi kila namna ninavyoomba ko nn nikifanye hpo?
  14. saligongo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mawazo mazuri Sana!! USHAURI WANGU!! Tuanze mkakati wa kuchambua mechi at least 5 kwa siku then kila mmoja atembee nazo kwa uwezo wa wallet yake Swala la kuchangishana kwenye betting is BIG NOOO..!! Tuache mchezo wa ma-code code tutazidi kumnufaisha kanji kila Leo!!
Back
Top Bottom