Hawa jamaa wana akili fupi. Kazi ni kuburuzwa na Rwanda. Dawa ni hii tu: ukimwaga mboga, tunamwaga ugali.
Hata hivyo Tanzania tumekuwa wavumilivu kwa kipindi kirefu. Hii ni kutokana na Diplomacy yetu iliyokomaa. Pia hawa jamaa ni juzi tu walikuwa wanatengana kwa makabila yao mpaka kufikia...
Nilikuwa naangalia Habari ya saa 2 ITV. Nampenda sana Mzee Lowassa, yupo straight kwenye kauli zake. Nimependa sana pale aliposema: "marehemu ni muhimu sana kwa familia, chama chetu katika harakati za kushika dola na HASA MIMI BINAFSI".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.