Ni kweli ulicho kiwakilisha, na ndivyo kama watanzania tutaweza kujenga umoja wa kitaifa, kama mababu zetu waliamua kuchukua hatua nzuri kabisa ya nani achinje! Tena walifanya hivyo kwa hekima ndio maana imefika sasa miaka 50 hakujatokea mambo kama yaliyofanyika huko geita. Ninacho wataka...
Ni muda sasa tangu mkapa foundation walichukuwa majina ya waliomba udhamini wa mafunzo ya afya lakini mpaka hii leo hakuna kilichojili! Plz wanajamii f- kama kuna yeyote anayejua kinachoendelea huko atufahamishe maana kama vyuo vya afya tayari vishaanza masomo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.