Recent content by Saleh B

  1. Saleh B

    JamiiForums Tanzania Punguza kujihurumia ili uvuke bonde ulilopo

    Safi sn!! Nimeipenda hii watu km nyie mbaweza hata kutengeneza vitabu au kuandaa kipindi cha kuelimisha jamii
  2. Saleh B

    JamiiForums Tanzania Nauza BAJAJ mpya bei m.7

    Bajaj ni mpya ina rangi nyekundu aina ni RE plag mbili (cheche pacha) ni toleo la kisasa. KWA mawasiliano piga namba 0719505078. Karibu
  3. Saleh B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ataka Rais Magufuli asusiwe kila mahali na mataifa mengine duniani

    Kweli hili ni VUVUZELA alichokiongea hapo hafananii na uwezo wa elimu aliyonayo. Nenda jimboni kwako ukashughulikie shida za wananchi wa jimboni kwako. Sasa muda wa kuropoka ulishapita.
  4. Saleh B

    JamiiForums Tanzania Kitabu kipya kinauzwa

    Hiki kitabu kinauzwaje na bei yake ni shilingi ngapi?
  5. Saleh B

    JamiiForums Tanzania Bei ya bajaj

    Namba ya simu 0719505078
  6. Saleh B

    JamiiForums Tanzania Bei ya bajaj

    Mimi nauza bajaj (piki piki miguu 3) nipo Tanga mjini. BAJAJ aina ni RE. Bei ni Tsh 7,000,000/=
Back
Top Bottom