Recent content by Sal pa

  1. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    NAshukuru sana
  2. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Vizio toleo lipi mkuu
  3. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nahitaji ushauri wakuu, ni hivi kwa bajeti ya laki mbili na nusu hadi laki tatu na nusu kwa hapa zanzibar au dar es salaam inawezekana nikapata sound bar toleo lipi kwa brand kati ya sony na wenzake hata kama ni mtumba kama haitatosha kwa soud bar vipi kwa upande subwoofer
  4. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ukimtazama mwanamke kwa kumtamani, tayari umefanya naye uzinzi moyoni. Jifunze hapa jinsi ya kushinda tamaa hiyo

    🙄🙄🙄🙄 😳😳😳😳😁😁😁😉😉
  5. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Mbezi sehem gani boss
  6. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Nmepata nafuu ila bdo maumivu nayahic ila cyo kama awali
  7. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Nitashukuru sana mkuu.
  8. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    maumivu wakati wa kukojoa au kuvuta kwa korodani hapan labda kwa mbali nani mara chache sana sehem ya haja kubwa muda mwingne ndo nahic kuvuta kidogo.
  9. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Hili tatizo lilianza taratibu wiki mbili sasa zimekamilika .wiki ya kwanza ilisha nikiwa na endelea na kazi niliyokuwa naifanya wiki iliyofuata ambayo ndo tumimalizia jana maumivu yakaongezeka hadi nikashindwa kuendelea na kazi maana maumivu yalienea hadi kiuno kikawa kinaniuma na ikiwa kazi...
  10. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Me
  11. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ana bei gani mkuu
  12. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa maumivu ya nyonga

    Habari wa JF. Ndugu yenu hapa ni wiki sasa nasumbuliwa na maumivu ya nyonga . Mwanzo nilianzia kuumwa na kiuno na nyonga ila kwa sasa kiuno kipo vizuri kilichobaki ni nyonga kuuma. Maumivu yapo ndani na nje kwenye misuli ya kuja kuunga na kiuno ina kuwa kama inakaza, kuna dawa ya asili ambayo...
  13. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kujitenga na masikini pindi uchumi unapoanza kuimarika

    Nakubaliana na wewe 💯 japo kuna wengine watakupinga ila kwa kutokulitambua hilo.
  14. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kiuno

    Hiyo tangawizi na mizizi ya ndulele unaiponda ponda?
  15. Sal pa

    JamiiForums Tanzania Baada ya wakinga kukataa mahari yangu niliamua haya yafuatayo

    kila mtu ashinde mechi zake
Back
Top Bottom