Recent content by Sakwe

  1. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Wakongwe karibuni,GENZ msichangie tafadhali

    Wakuu habari ya majukumu! Leo katika harakati zangu nimepata bahati ya kusikiliza nyimbo mbali mbali za enzi hizo maarufu kama zilipendwa. Kwanza nilianza na kibao cha Amigo chao les wanyika,nikagundua amigo hakuwa na makosa maana tuhuma alipewa amigo peke yake mbona hatukusikia upande wake...
  2. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Ulicho kiandika hakina utafiti wowote ni mawazo finyu yasiyo na mantiki duniani fursa hazijawahi kuisha million 10 sio mtaji mdogo hata kidogo popote ulipo kuna fursa ndio maana kila kukikucha watu wanafungua hizo biashara. Mfano kariakoo tuu mpaka leo hakujatosha na watu wana saka hizo frame za...
  3. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

    😁😁 Hili ni janga
  4. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

    Licha ya kutambua hilo lakini huwezi kuacha 😁
  5. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

    Habari wana jamvi Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu. Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana? Sakwe bin sakwe Binadamu mashaka
  6. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mimi kumrudia Mwanamke huyu (EX) Kwa sasa?

    Hapana mkuu
  7. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mimi kumrudia Mwanamke huyu (EX) Kwa sasa?

    😂 Ni kijana bado mkuu
  8. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Nina group la vitabu soft copy :FREE OF CHARGE

    Tulifanya research ya kwanini watanzania hatuna desturi ya kupenda kujisomea. Anyways tusome wakuu
Back
Top Bottom