Recent content by sakimbo

  1. S

    JamiiForums Ushauri tafadhali

    Naweza kutumia fertility drugs bila ushauri wowote wa daktari??
  2. S

    JamiiForums Utamshaurije huyu??

    Wameambiwa ila na wao wanajaribu kufuata desturi yao kwamba kwamba wanatakiwa wajitambulishe upande wa baba wa binti,
  3. S

    JamiiForums Utamshaurije huyu??

    Sawa nmekuelewa ila tatzo ni kwamba upande wa kijana wanasema mila na desturi zao hawawez kujitambulisha kwa wajomba lazima waende upande wa baba wa binti huyo kwanza wao ndio wawape ruhusa ya kwenda kujitambulisha kwa wajomba, na upande wa pili bibi hataki upande wa baba wahusishwe, itakuaje...
  4. S

    JamiiForums Utamshaurije huyu??

    Sasa na utambulisho itakuaje?? Yan maanisha upande wa kijana anayetaka kuoa itakuwa vyema wazazi wake wakienda kujitambulisha upande wa baba wa binti huyo? Kisha kuja kujitambulisha tena kwa wajomba?? Naomba msaad wa Mawazo tafadhali
  5. S

    JamiiForums Utamshaurije huyu??

    Yan umegusa palivyo binti ni msukuma na bibi anasema kuwa baba wa binti huyo hakutoa mahari kwa mama wa binti huyo hapo itakuaje tukirud kwenye mila na desturi?
  6. S

    JamiiForums Msaada: Naomba kufahamishwa kuhusu intern kwa waliomaliza course za AFYA mwaka Jana

    Habar zenu, naomba kujua hivi wahitimu wote walomaliza course za afya wameshaenda intern? Maan course nilosoma mm hakuna aliyeenda sasa sjajua n sisi tuu au kuna wengine coz hatujui hatima yet n nin nisaidien wadau
  7. S

    JamiiForums Wizara ya AFYA kimya sana mbona?

    Habar zenu humu ndani, hivi wanafunzi wote waliosomea course za AFYA miliomaliza mwaka jana mmeshaenda intern? Maana kuna ambao tuko kitàa hadi sasa na hatujui hatima yetu, naomba taarifa tafadhali
  8. S

    JamiiForums Utamshaurije huyu??

    Ni binti ambaye wazazi wake walishafarik kipindi kirefu kilichopita, ila wazaz wake enzi za uhai wao walikuwa hawaelewani hadi kufikia kuachana, baada ya mama yake kufarik binti alilelewa na bibi na wajomba wakamsomesha hadi kuhitimu elimu ya chuo kikuu bila kupata msaada wowote kutoka kwa...
Back
Top Bottom