Recent content by Sakaja

  1. S

    Magufuli, hotuba hizi za aliselema hazijengi chochote!

    Najua watanzania wengi hawajui maana ya uchaguzi na hawawezi kusoma alama za nyakati,CCM is the corrupt party and we don't think if pombe magufuli is not corrupt.The beautyfull one are not yet born may be from ukawa and not CCM.
  2. S

    Magufuli, hotuba hizi za aliselema hazijengi chochote!

    Tanzania bado haijapata rais shupafu atakaeitoa Tanzania kwenye umaskini na kupunguza ufisadi
  3. S

    Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    angalieni mnachokiandika kwa kutaja majina ya watu kinyume na taratibu na sheria za mitandao.Acheni kuwa wadhaifu wakujenga hoja wapendwa.
  4. S

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Watanzania wengi ni maskini sana ndo maana wanampinga lowasa kisa yeye ni tajiri,tuspo simama na kuchagua mtu mwenye uwezo wakutoa katika dimbwi la umasikini tutazidi kuwa omba omba. Nashangazwa na wanaosema lowasa fisadi,amewafisadi nn?na kama ni kweli kwann wasimfungulie kesi mahakaman?Lowasa...
  5. S

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Watanzania wengi ni maskini sana ndo maana wanampinga lowasa kisa yeye ni tajiri,tuspo simama na kuchagua mtu mwenye uwezo wakututoa katika dimbwi la umasikini tutazidi kuwa omba omba. Nashangazwa na wanaosema lowasa fisadi,amewafisadi nn?na kama ni kweli kwann wasimfungulie kesi...
  6. S

    Edward Lowassa special thread

    Tuko pamoja rais wa Tanzania,Ninaimani na Lowasa %
  7. S

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    Tanzania si ya nyerere,who is makongoro by the way?Tanzania now need leaders and not people from a tribe unless we need to introduce tribalism.
  8. S

    Wapinzani wa Lowassa wahaha na kutumia 4U fake kumchafua

    najua kuna watu wakisikia au kuona jina lowasa anaumia sana ila mm nitoe tu pole kwa wote wenye hali kama iyo maana lowasa ndio rais wa Tanzania wandugu.
  9. S

    Kumbe Makongoro Nyerere ni Nshomile kabisa tena bye hatari kabisa

    makongoro is learning on how to speak and not how to lead Tanzanian.
  10. S

    Tafsiri ya kaulimbiu ya "Safari ya Matumaini" ni kiashiria cha kutokuwa na uhakika!

    fisadi ni lowasa tu?mbona mnatumia mda kujadili mtu badala ya sera?
  11. S

    Tujadili kauli hii ya Nape na hatma ya Lowassa ndani ya CCM

    who is nape by then?who is not corrupt?we have to stand for a right presidend and not for the interest of Nape.
Back
Top Bottom