Recent content by Sajo

  1. Sajo

    JamiiForums Tanzania EWURA wametangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi October, 2026. Yes, ulichofikiria upo sahihi. Yamepanda!

    Mwigulu ndio Waziri Mkuu, mzee wa 'hamieni Burundi, mkanunue mafuta kwa bei rahisi'. Hivi akaunti yake humu aliifuta? Kipindi ametolewa uwaziri na Magu nakumbuka alikuja humu kujieleza eleza
  2. Sajo

    JamiiForums Tanzania Goba parachichi 7000

    Sawa na vimishikaki vya coco beach, wanakuletea mishikaki 20 halafu wanasema bei ni elfu 40😄, mishkaki yenyewe ni ile ambayo kitaa ni shilingi 500 maximum price, sio ile yenye nyama za kushiba inayouzwa buku 2. Hela ngumu sana
  3. Sajo

    JamiiForums Tanzania Goba parachichi 7000

    Moyo Steak , robo kilo ya steki choma niliambiwa shilingi elfu 90.. nikacheka sana, maana ni bei ya kilo 9 za nyama mbichi. Kwa elfu 70 utanunua kilo 7 za nyama, 10k ya viungo na 10k mkaa na foil, utachoma ule nyama mpaka uzimie.
  4. Sajo

    JamiiForums Tanzania Automatic Incubator Machine

    Power ni umeme tu, au umeme na sola, au sola tu?
  5. Sajo

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Sasa mbona haujibu alichoeleza mkuu hapo. Ametambua kuwa huyo alikuwa ni mke, na suala la mchango wa upatikanaji wa hiyo nyumba linakuwa na shaka upande wa mwanaume sio wa mwanamke. Ameuliza kuwa kama nyumba ilijengwa na mwanamke tu, iweje sasa jina la mwanaume liwepo kwenye hati?? Bila shaka...
  6. Sajo

    JamiiForums Tanzania Dr Gwajima naona Unalalia sana Kwa wanawake pasina kusikiliza pande zote mbili. Unatukosea sana Wanaume.

    Kwenye vita, kila kitu ni sahihi
  7. Sajo

    JamiiForums Tanzania Nilivyoona hii picha nikajisemea tu huyu jamaa ni zaidi ya "Businessman"

    Marais ndio wanakuwa kama wageni ikulu, halafu yeye ndio mwenyeji.
  8. Sajo

    JamiiForums Tanzania Meta wafuta video ya utupu na kukoroma mitandaoni

    Sasa tunafikaje kwenye faragha zao?
  9. Sajo

    JamiiForums Tanzania Aliyechinjwa Haiti

    Wycleaf Jean anagombea urais mara kadhaa lakini wanampiga chini, wanataka wajiendeshe wenyewe kimafia
  10. Sajo

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Ile kitu ni roho (spirit).
  11. Sajo

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya abiria kupanda mishikaki, inasababishwa na hali ya uchumi, au ndio yale mambo ya kutokulinda mgongo?

    Uchumi. Na mkipanda mnakuwa hamna mawazo ya kishoga sababu mnachowaza ni kusafiri. Ushoga unaanza na mawazo, ukiwa na mawazo ya kishoga shoga yanakujia. Ni suala la kisaikolojia, kama vile kuona mtoto anafanana na wewe kwa sababu tu umeambiwa ni wa kwako.
  12. Sajo

    JamiiForums Tanzania KERO Mwaka sasa Watumishi wa VETA Intake ya September 2025 hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Mpaka sasa mpo nje ya muda kuwasilisha madai yenu CMA. Hapo ni mpaka muombe nyongeza ya muda. Haki haiombwi, inadaiwa. Nitafuteni, mtalipwa fedha zenu
  13. Sajo

    JamiiForums Tanzania Najiuliza sana Ubomoaji wa misikiti India

    Mkuu kutoka 1947 mpaka leo bado wanakuwa maskini tu?
  14. Sajo

    JamiiForums Tanzania Niliweka rekodi Iringa > Dar

    Comfort Video Coach (CVC). Aisee, kipindi kile Tahfif (Nissan Diesel UD) ilikuwa inatoka Nairobi mpaka Sumbawanga kwa siku 1 tu. Saa 10 jioni ipo Iringa, saa 4-5 usiku Sumbawanga
  15. Sajo

    JamiiForums Tanzania Niliweka rekodi Iringa > Dar

    Hii mihuninga ilikuwa inatembea sio mchezo. Nakumbuka Iringa kulikua na DCM ya kina Mike Mwakatundu (Mike T), ikiitwa jina COMPUTER, iliyokuwa inakwenda Dar na kugeuka siku hiyohiyo. Inatoka Iringa saa 11 alfajiri na Dar inaondoka saa 7 mchana. Nadhani Iliacha safari zake mwaka 2000 hivi.
Back
Top Bottom