Recent content by saji

  1. saji

    JamiiForums Tanzania Picha za Green Guard, Red Brigade na Blue Guard

    Ccm wote wananuka ruswa hebu jiulize hawana biashara yeyote lakini wakati wa uchaguzi wanachukua kodi zetu wanafanyia mambo yao,wananchi tunabaki tunakula nyasi,watanzania tufanye mabadiliko vinginevyo tutaumia sasa angalieni tunalipa kodi ya cm,television na hadi radio tutawekewa vingamuzi
  2. saji

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuweza kupata mtoto

    Mtoto ni baraka kutoka kwa mwenyezi mumgu,hivyo bac jaribu kusali sana pia kumtegemea mungu siku zote
Back
Top Bottom