Recent content by Saint H.Jr

  1. S

    Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

    Nilijarbu kumwambia kwenye suala la ada,kiukweli anaonekana ni bahli sana! Mimi mwenyewe hayo yote siyafahamu kwa kwel,maana toka la kwanza hadi leo hii ninasoma Saint Kayumba,sasa kwa kweli watanisamehe!
  2. S

    Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

    mtoto ni wa kiume,muislamu na anataka shule ya Bweni Mkuu
  3. S

    Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

    mshua wake ndo yupo na imani sana ya kiislam,imani yake ni kuwa,mtoto atasoma na maadili ya dini
  4. S

    Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

    mpango wake ni form three ila plan B yake hata form two anaweza akarudia coz hata umri wake haujaenda sana
  5. S

    Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

    unaweza ukawa na dondoo za ada ya hzo shule Mkuu?
  6. S

    Anayejua shule yoyote ya kiislamu Mwanza

    Jamani wanajf,naamini wenyeji wa mwanza mpo na ndiyo mtakaonipa msaada wa dhati.Kuna mdogo wangu kafeli kidato cha nne,sasa nimepewa jukumu la kumtafutia shule ya kiislamu,O level na iwe Mwanza na gharama iwe chini ya Milioni! Naombeni mnisaidie wana jf,kama kuna mtu yupo anaijua na gharama zake...
  7. S

    Kampala: Baby injected with HIV blood on preventive treatment

    God save the baby's life and forgive Namubiru for she knew nothing on her crime commitment! GOD IS good
  8. S

    Kwanini kila Mwanaume hutaka kulala nami before

    believe me wakaka wanaojiheshim bado wapo. Ukiwaweka kina kaka mia nikiwemo na mimi,utapata mmoja tu,au wakati mwingine usipate kabisa mwenye sifa hiyo! Kitu kimoja ngoja nikuambie,siku hizi mambo si kama zamani! Kuna rafiki yangu alikuwa na msimamo sawia na ule wa demu wake,yaani wa_keep...
  9. S

    Tsh. 5000/= ya joining instruction form kibasila sekondari.

    Sijawah kuona toka nianze kusoma! Ni juzi tu hapa Shy nilimfuatia dogo joining yake,ni bure kabisa tena hadi sample ya kitambaa wanabandika kwenye hyo karatasi na wanakuomba uwaambie na wengine wawahi kuchukua hizo form! TANZANIA BILA WIZI,HAIWEZEKANI
  10. S

    Vipimo vya VVU vinauwezo wa kubaini vvu mwilini kwa muda gani?

    very fantastic expressions! Nilipitia but i was just scanning! Kumbe ndio maana watanzania tunashindwa kupanua wigo wa maarifa kwa sababu huwa hatutaki kusoma na tukisoma basi ni juu juu sana! Nimependa sana maelezo yako tena they are more scientific! Ngoja niku_PM unishauri kitu.
  11. S

    Vipimo vya VVU vinauwezo wa kubaini vvu mwilini kwa muda gani?

    Asalam alayqum, wadau,pamoja na kuwa nilitoa kama hoja katika moja ya uzi hapa,nimeona ni vyema niliweke liwe swali la kujitegemea,hivi vipimo vya VVU(HIV) vinauwezo wa kubaini vvu vyenye muda gani mwilini? Mfano,leo nimeambukizwa,inachukua muda gani hadi vipimo vionyeshe uathirika wangu...
  12. S

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Na je,vipimo vinaweza kubaini VVU mwilini kwa muda gani? Yaani virus vinavyoingia mwilini mfano,leo,vipimo vinaweza kubaini baada ya muda gani?
  13. S

    History question A-LEVEL

    Mwenyewe ningekujibu lakini rejea kubwa ni Kato pamoja na nyambari na kwa kuwa umewadharau,sina budi kukaa pembeni! Jaribu pia kumsoma Rodney,W.ktk kitabu chake cha HOW EURORE UNDERDEVELOPED AFRICA.halafu acha dharau,mwenyewe bado hata hujafikia hatua ya kuandika hata kitabu lakini unakuwa...
  14. S

    charting frnds

    your gender?
Back
Top Bottom