Korona ipo Tanzania na wagonjwa wapo na hospitali wananongona kwa hofu kuwa serikali haitaki ifahamike kuwa corona iko nchini. Tuchukue tahadhali ama tutakwisha kimya kimya.
Hakuna ubishi kwamba Chato. Hata hivyo chato imekuwepo miaka yote hata kabla rais Magufuli hajazaliwa. Tofauti inayojadiliwa ni upendeleo wa waziwazi inayopewa chato kwa kuwa rais Magufuli anatoka hapo. Jambo la msingi ni kutomfanya rais aonekane anapendelea Kwao. Magufuli ana kwao, lakini urais...
Tatizo la serikali ya awamu ya tano ni kushindwa kueleza/ kutafasili sera zake kwa wananchi. Serikali inajua haiwezi kujenga madarasa yote nyumba zote za waalimu na madawati kwa wanafunzi wore wa msingi na sekondari bila msaada au mchango toka kwa jamii. Serikali hi ina mambo mawili (1)...
Anae himiza tumpigie kura rais Magufuli awe kiongozi bora wa kisiasa Africa atushawishi anazo sifa. Zipi na mashindano hayo yana vigezo vipi vinavyoshindanishwa. Bila kujua vigezo tunalinganisha nini na nani.
Hivi karibuni Marekani wametoa $ 900 bn kuwasaiadia watu Wao walioathirika kiuchuni tokana na ugonjwa wa corona, Sawa na makusanyo ya tra kwa Milka 10. Sasa Marekani waje kuomba msaada gain toka hapa Tanzania ? Hata hivyo hakuna sheria inayozuia kuota.
Anaeficha ugonjwa kilio kitamuumbua, wagonjwa wa korona wapo hospitali Hapa Dar. Kama ulipungua na sasa umerudi tuseme na tuushughulikie kuliko kuficha
Pamoja na kwamba maji yakimwagika hayazolewi, lakini kauli ya mzee warioba kuhusu madudu ya Tume ya uchaguzi katika uchaguzi uliopita inasitahili Kuungwa Mkono na wazalendo wa kweli wa nchi yetu. Nadhani ni busara tukajadili Hoja badala ya Mtoa hoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.