Habari.
Kampuni inayojihusisha na uchimbaji visima dar es salaam inatoa ofa ya punguzo kwa wanaohitaji visima virefu na vifupi kwa gharama za kawaida kulingana na sehemu unayohitaji kisima.kwa mawasiliani zaidi tutumie ujumbe ili tuweze kukufahamisha...
Yan unaweza usifike mita hizo 160,maji yanayotumika kutoa mchaga juu yakawa hayarudi yani yanakutana na mwamba ambao upo waz..kwaiyo huwa tunaweka bomba maan.sehemu hizo maji yapo meng
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.