Nataka kuchimba kisima cha umwagiliaji pale bagaboyo ambacho kitatukia pump.Hatuna mkuu
Weka bei ya wastani kutokana na uzoefu wenu!Hatuchimbi kwa mita boss, sisi huwa tunapiga mahesabu ya jumla inamaana mpka tujue ni wap, ili tujue tunachimba mita ngapi na tuje kufanya kazi