Recent content by saidury

  1. S

    Naibu waziri Mh. Masele aunganisha mawaziri wa madini Afrika

    jamaa yupo makin sana leo nimeona umakin .tumpe moyo
  2. S

    Naibu waziri Mh. Masele aunganisha mawaziri wa madini Afrika

    Masele aunganisha mawaziri wa madini Afrika kupambana na unyonyaji na utoroshaji wa madini. Akihutubi katika mkutano Masele alisema "lazima bara la Afrika liwe na msimamo mmoja dhidi ya rasilimali za Afrika ili tujitegemee kibajeti na maendeleo ya nchi zetu.Tutategemea mataifa ya nje mpaka...
  3. S

    MNEC Arusha Mjini G. Mwalusamba astaajabisha watu

    jamani jamani jamani we mahamud jaman chodola anatakiwa awambie mnec wa arusha mjini mwalusamba anunuliki amejitosheleza sana yupo kwa ajili ya nchi yake na taifa lake wanatakiwa wafaham ilo very soon na wakubaliane na ukweli watafute mambulula nasikia ili uwe kundi ilo lazima uwe mtu wa yes and...
  4. S

    Wafuasi wa LAMBA LAMBA wilaya ya Lushoto wafanya fujo

    Kituo cha police na ofisi ya afisa tarafa Bumbuli vyaharibiwa vibaya na wafuasi wa lambalamba. Mkuu wa wilaya ya Lushoto ndg. MAJIDI MWANGA amewachukulia hatua kali wafuasi wa lambalamba ili kukomesha tabia za wafuasi hao wa lambalamba, 32 wafikishwa mahakamani.
  5. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto

    DC wa Lushoto ndg. Majidi Mwanga kweli ni mwanamichezo, leo nimeshanga akiwa katika mazoezi na vijana mbalimbali wa chuo kikuu cha sekomu na chuo cha mahakama IJA na baadhi ya askari mchanganyiko na vijana wa mtaani katika kiwanja karibu na kituo cha police. Sio rahisi kwa viongozi wetu...
  6. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    unajua ndg yangu hata mungu apendi kumsingizia mtu huongo na fitina sasa izo zako ni fitna ndg mi namjua dc vizuri sana kuliko wewe wa kucop na kupaste jamani vingine havi paste ndg minisijo usifute mkumbo
  7. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    dc amemaliza kidato cha sita old moshi na alipa div 2 wewe ni mmbea
  8. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Haumjui dc wewe mkuu wa wiliaya hajawahi kusoma umbwe amesoma aleve old moshi shule waliosoma viongoz kama kina msuya .usidanganye watu ujinga wako endelea kubaki nao ukusaidi wewe lakini sio sisi pole sana
  9. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    mkuu wa wilaya lushoto upo vizuri sana chapa kazi
  10. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Kuwekwa ndani kwa mganga ni sawa anaonea watumishi wa hospitali ataandamana yeye na katibu wake wa hospitali na pia miaka mingi hakuna bodi ya ya hospitali na mkurugenzi anajua wa lushoto anajua ukosefu wa dawa malipo extaduty na malimbikizo ya manessi ,madereva na waganga hayashughulikiwi...
  11. S

  12. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    :pop2::target:TUMEPATA DC WA UKWELI USHOTO ANAEJUA MAADAILI YA UNGOZI APENDI RUSHWA NA NAEPENDA KAZI YAKE
  13. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Kila mwanalushoto anamuunga mkuno dc wa lushoto ndg majidi mwanga
  14. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Watumishi wamezoa kusukumwa kama kondoo sisi watu wa lushoto mfano kiongozi wa upinzani ndg kisandu amecoment na kupongeza juhudi za dc hata jana dc katoa set ya jezi ya timu ya vijana wa boda boda au pikipiki huwambii chochote juu ya dc ni best yao sana.dc tupo pamoja
  15. S

    Mkuu wa wilaya ya Lushoto ni vituko kila kukicha

    Mrisho gambo endelea kufanya kazi kaka unasifa za kuwa kiongozi hayo ni maneno tu ya watu ila najua unajielewa unafanya nini katika wilaya yako ya korongwe safi sana
Back
Top Bottom