Recent content by saidow masaka

  1. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Kwa order tunafanya..
  2. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Its posible kufunga.ndio
  3. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Ubungo maziwa
  4. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Sawa kaka ntafatilia hiki kitu..
  5. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Mtungi unakuwa na pamanent lable.. haitoki , ila wao wanapaka rangi kuficha label na kupaka rangi. Na kuweka label yao.
  6. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Mtungi una expire date, wanakuwa wanaificha, kwa kupaka rangi, na pia mtungi uliochoka hautakiwi kutumika. Wao wanabandika sticker kuonyesha muda wao wa ku expire world safety hairuhusu hiyo..
  7. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Kaka me hii sina taarifa nayo, na me ni mkaguzi, na taarifa zote za gesi tunazo
  8. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Kaka achana na gharama sijui 1.3/1.4 za mitaani , ambao watu wanafunga kwa mitungi iliyotumika na kuipaka rangi ionekane mipya, na kuweka sticker zao ..sisi tunafunga brand new kwa 1.5m
  9. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Gharama za kufunga hiyo mitungi miwili na mfumo ni 1.8m, ila gharama za mfumo na mtungi moja ni 1.5m.
  10. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Mtungi wa 15kg tena miwili , ila kwa sisi tunayo ya 10kg
  11. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Very good umeelezea vizuri kwa lugha rahisi..
  12. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Hiyo ajali haijatokea na haipo reported kwetu. Na me ni mkaguzi wa magari ya gesi
  13. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Hizi tAARIFA CYO ZA KWELI KWASBB DANGOTE AMERUHUSIWA KUTUMIA GESI WALA CYO MUDA, LABDA NI MADEREVA TU AMBAO SASA HIVI HAWAUPENDI HUU MFUMO KWASBB UMEWABANA KUIBA MAFUTA KWAHIYO WANAUCHUKIA HATARI SANA. PILI , DANGOTE ANASHITAKIWA KAMA INGEKUWA HIVO, KWASBB KWANZA GARI ZAKE ZIMEKAGULIWA NA WAO...
  14. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Hapana it depends na cc za engine
  15. saidow masaka

    Magari ya gesi CNG

    Hahah ha ha tumeanza kutumia mfumo tangu 2010, mpaka leo 11yrs..no any damage
Back
Top Bottom