Ndugu yangu kinyau, illuminati wapo kila sehemu,na wala usishtushwe na alama ya nyoka muhimbili kwa sasa utaumia kichwa tu. Kumbuka huu ni mfumo (order) iliyokuja baada ya ukoloni kwa kuwa our traditional ways hazikuwa na symbol hizi. Jaribu kufikiri nini maana yanyoka hospitali pamoja na ubaya...
Nashukuru kwa kutaka kujua ukweli, unajua ukweli juu ya mtu wa mungu anataka kujua hata kile shetani anchofanya ima kwenye giza au la mchana. Illuminati ambao ndio hao hao Freemason, hii pia ni njia tu ya kuwafool watu wawe na maswali juu ya kupambanua makundi haya mawili, ila ndugu yangu wote...
Hello Mr. Pasco,
Nimevutiwa sana na tafakuri ya mazingira ya kifo cha Kanumba. Kiukweli mimi binafsi niligubikwa na simanzi nzito ingawa niko mbali sana kwa sasa takribani mwaka mmoja niko china. Kanimba ni mmoja wa wasanii ambao niliwakubali sana katika tasnia ya filamu na hata akanifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.