xaxa namuelewa Mkosamal aliposema huyu mshkaj n kigeugeu mana cku anakabidhiwa rasimu alisema mwnyew ripot ya tume iheshimiwe koz n mawazo ya wananch na hicho kilichoandikwa ndo wanachotaka,,,,xaxa hapa anageuka tena,,,,anaposema tume haina ushahid kuwa watanzania wanataka serkal tatu yy ana...