Recent content by saidi01

  1. saidi01

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Open nasoma foundation npate credit za kwenda degree,hiyo technical inatolewa MUST not open
  2. saidi01

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Ok, nawish kusoma degree ya technical education ambao msingi wake ni phy,math & Chen.Naomba kujua kama masomo n hayoo coverage yake inakua n ileile kam ya A- level au tofaut,ili nianze maandaliz mapema?
  3. saidi01

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Msaada wakuu,Nina G.P.A ya 2.9 diploma ya phy & Math,nawish kujiunga na foundation ili kuweka mamb sawa,Coverage ya hiyo foundation kozi niliambiwa ni masomo sita, compulsory ni(Ds,ICT & CL) hayo mengine n yepi?
  4. saidi01

    Msaada guys, Windows 7 inagoma kustart

    WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
  5. saidi01

    Re-application

    Degree o diploma?
  6. saidi01

    Msaada wa kupata vitabu hivi

    Hlw guys, naomba kwa mwenye vitabu vya adnce science softcopies anitumie please (PCM/PCB) Chochote ktk hivyo hasa chand 1 ya phz. Email.binbond300@gmail.com
  7. saidi01

    Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    P1 xn Mkuu,ntafkiria kuhusu hlo pia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. saidi01

    Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    P1 xn Mkuu,napambn ofkoz Nina garage but haijasajiliw ktk requirement za kuisajil wanatak minium requirement uwe holder wa degree ya mech au automobile days why nkafkiria kurud shule mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. saidi01

    Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    P1 sana Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. saidi01

    Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    Itabd coz nlisom PCB en nlipga fresh but cko interested nayo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. saidi01

    Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    Pepa ilinipitia kshoto nze Sent using Jamii Forums mobile app
  12. saidi01

    Hivi naweza kuendelea Degree kwa GPA 2.9?

    Helow guyz naomba wajuzi mnisaidie, nimemaliza Diploma ya Mechanical Engineering nikiwa na GPA 2.9. Naweza kujiendeleza kwa ngazi ya Bachelor kwa ufaulu huo?
  13. saidi01

    Naomba kwa mwenye uelewa kuhusu chuo cha ualimu kleruu

    Walimu wa sayansi ajira zpo hasa physicis,mathe&chem.bila kusahau ufundi & maabara
  14. saidi01

    Naomba kwa mwenye uelewa kuhusu chuo cha ualimu kleruu

    Mazingira , walimu wako vzr pia Huduma za kijamii mfano Maji, umeme na huduma za afya ni zauhakika, mm nilisoma pale
  15. saidi01

    Elimu ya ufundi (TECHNICAL EDUCATION) ina vichekesho aisee.

    In some extent nakubaliana nawe but kwaupande mwingine sikubaliani nawe, Vigezo vya kujiunga na chuo kinachotoa kozi za ufundi Tz hii ni Ufaulu wa kidato cha nne na hususan ni kwa wale wenye misingi ya ufundi au walopitia veta na kigezo chengine ni ufaulu wa kidato cha sita usiozidi daraja la 3...
Back
Top Bottom