Recent content by saidi mdaki

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kusaka mwanamke mwingine, hisia zinatibika

    Mwanaume anafua nguo za mkewe, kupika na kuchotelea maji ndo jamaa anaenda kazini. Ni ngumu kuamini lakini ndo iko hivyo. Kitu mapenzi we acha tu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Hapo umemaliza kabisa mkuu. Mke anamawazo anadaiwa marejesho ya vikoba, mume mfuko hausomi, mlo wa manati halafu umletee habari za kurusha maji! Usipotafuta pesa maji ataurushia mchepuko Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
  3. S

    JamiiForums Tanzania Squirting ni kwa baadhi ya wanawake au wote?

    Hapo umemaliza kabisa mkuu, mke anamawazo ya kudaiwa vikoba, mume mfuko hausomi, mlo was manati halafu umletee habari za kuruha maji. Usipotafuta pesa maji ataurushia mchepuko Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa

    Ni kweli kabisa Wala hajakosea, huyu jamaa ameona mbali sana Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao kwa muonekano wa haraka haraka hutakiwi kuoa

    Ni kweli kabisa, Wala hajakosea Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kusaka mwanamke mwingine, hisia zinatibika

    Mbona mi jirani yangu amerudiana na mkewe na mapenzi yao yamekuwa kuliko mwanzo, Sasa hv jamaa anapika na anafua Hadi nguo za mkewe! Hii imekaa vp? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania Usihangaike kusaka mwanamke mwingine, hisia zinatibika

    Mbona mi jirani yangu amerudiana na mkewe na mapenzi yao yamekuwa kuliko mwanzo, Sasa hv jamaa anapika na anafua Hadi nguo za mkewe! Hii imekaa vp Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuishi maisha marefu fanya hivi

    Inlalillahi wa inlalillahi raj'un Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nashangaa sana wanaopenda makalio makubwa

    Modle ndio mpango mzima Kwanza anakunjika na hata akideka anafanania, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom