Recent content by Saidi Ally

  1. S

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Clouds Fm hawapaswi kulaumiwa kabisa. Kuhusu kumhoji shabiki aliyeingia uwanjani wakati timu yetu inacheza na timu ya Brazil hiki ni kitu cha kawaida tu hata nje kwa wenye mbongo huwa yanafanyika kama haya. Hapa tatizo ni watoto wenyewe hawana adabu. Utakuta mtoto Suruali ameivalia magotini na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Hapa mimi naona wa kulaumiwa ni wanafunzi wenyewe. Kutwa mzima utakuta mwanafunzi yupo kwenye facebook, mtu kama huyu kusoma atasoma saa ngapi? Clouds Fm hawapaswi kulaumiwa kabisa. Hivi mtoto mpaka anaandika matusi kwenye mtihani hapa unategemea nini? Kwanza zamani sisi wakati tunasoma ilikuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Joyce Ndalichako: Clouds FM ilimpa promo kijana aliyendika matusi kwenye mtihani wa Kidato cha Nne

    Hapa mimi naona wa kulaumiwa ni wanafunzi wenyewe. Kutwa mzima utakuta mwanafunzi yupo kwenye facebook, mtu kama huyu kusoma atasoma saa ngapi? Clouds Fm hawapaswi kulaumiwa kabisa. Hivi mtoto mpaka anaandika matusi kwenye mtihani hapa unategemea nini? Kwanza zamani sisi wakati tunasoma...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ridhiwan nawe anika elimu yako tuione, na vile vile Nape nawe uanike elimu yako tuione, nyie wote wawili tunataka tuone Cv zenu maana isije mkawa mmetumia nafasi za wazee wenu kujipatia vyeti bila kwenda Shule.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Kaka Kichuli huo ni ulimbukeni, hao waliohusika kumuua huyo padre ni wahalifu kama walivyo wahalifu wengine! Mawazo yako ni ya kitoto kweli. Sisi sote ni ndugu kwa nini tufikie hatua hiyo? Tupinge vikali hali hii isiendelee kamwe. Na Uislam sio UGAIDI Kama unavyotafsiri bali ni dini kama dini...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Ewe Mwenyezi Mungu, tunakuomba utuondolee laana hii inayotunyemelea ya vita vya kidini hapa nchini kwetu. Utuepushie mbali na watu wote wenye lengo la kuvuruga amani tuliyonayo hivi sasa. Waliohusika kumuua Padre huyu wakamatwe haraka sana.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Goldie Harveys Husband Blasts Prezzo - Youve Caused Enough Hurt & Pain

    Pole sana PREZZO kwa kuondokewa na kipenzi chako.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni Mwaka 2016. Unatakiwa kuweka hii picha ya Rais kwenye ofisi yako

    Ukipita karibu yake ukiwa na simu mkononi na bluetooth ikiwa on, simu inaandika ''new device detected''.
Back
Top Bottom