Recent content by saidhafidh

  1. saidhafidh

    Msaada MESTEROLONE 25mg

    Ukiikuta ipo utaniambia hilo duk ulioikuta tutawasilian tutajua cha kufanya kitu kikubwa ni kupata duka linalouza hio dawa tu mambo mengine vip itanifikia tutayajenga tu
  2. saidhafidh

    Msaada MESTEROLONE 25mg

    Cjakuelewa ndugu Mm shida yangu ni hio dawa wap nitaipata km ww unawez kundaidia ntashkuru sana
  3. saidhafidh

    Msaada MESTEROLONE 25mg

    Ok poa asant nitaingia google ila naomba msaadawako uniulizie huko dar ukipat duka linalouzwa niambia ninashida naz sanaaa
  4. saidhafidh

    Msaada MESTEROLONE 25mg

    MImi shida yangu hio daw . Sina tatizo la kutosimamisha nasimamish km kawaid
  5. saidhafidh

    Msaada MESTEROLONE 25mg

    Asant Vip nawez kupata contact ili niwasiliane nao au tunafanyaje ili tupateuhakika km dawa ipo maan mm nakaa mikoan ili nikija dar niwe nanuhakika km dawa ipo na bei niijue
  6. saidhafidh

    Msaada MESTEROLONE 25mg

    Naomba msaada nahitaji dawa ya MESTEROLONE 25mg au proviron , mwenye kujua duka ninaloweza kupata au pharmacy ninayoweza kupat au km yy anaweza kufanya niipata tuwasiliane au anuelekez maan nimezitafuta sana cjazipata Msaada wapendwa
  7. saidhafidh

    Kufunga accont

    Anaejua kurudisha account ya yahoo nilisahau password sasa imenishinda
  8. saidhafidh

    Kuchelewa kufika kazini

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, naomba ufafaniz juu hili. Kuna rafiki yangu shulen kwao alikuja afisa elimu na kupiga mstri mwekwend kweny daftar la mahudhurio la walimu muda wa7:28asubuh na kumuagiza mkuu wa shule awambie wale wote waliokuja baada yake waandike barua ya maelezo kwa nini...
  9. saidhafidh

    Naomba kuifahamu kampuni ya VIGUTA inayojengea watu nyumba

    Sawa asant km una taarifa zao zaid , Sent using Jamii Forums mobile app
  10. saidhafidh

    Naomba kuifahamu kampuni ya VIGUTA inayojengea watu nyumba

    Asant ndugu.ila nadhan kwa kiasi fulan lengo umenielewa msaada wako juu ya huli unaumuhim sana Sent using Jamii Forums mobile app
  11. saidhafidh

    Naomba kuifahamu kampuni ya VIGUTA inayojengea watu nyumba

    Namba ufafanuzi wa kampuni inayoitwa VIGUTA wamesema wanatao huduma ya kukujengea nyumba kwa gharam tofaut. Namba ufafanuz kwa wanao Sent using Jamii Forums mobile app
  12. saidhafidh

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hapo kwenye unzip application cjaelewa maana nimefungua ggleplay zimekuja unzip nying tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. saidhafidh

    Clinic mpya imefunguliwa inajihusisha na mambo ya upandikizaji(IVF)

    Semen analyses test mnafany kwa sh ngap?
  14. saidhafidh

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Ofisi Tanga sehemu gani ?
  15. saidhafidh

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mtu mzito unapatikana wap ofic yako juu ya hio kaz yako
Back
Top Bottom