Recent content by SaidAlly

  1. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Kiufupi Yanga hawana kocha, ligi ya mabingwa makundi itapata aibu

    Hiyo nilielewa. Nilifikiri utaelezea na sub nyingine alizofanya pia. Kwahiyo tatizo ni Mudathir tu ila kwingine kafanya fresh sio?
  2. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Kiufupi Yanga hawana kocha, ligi ya mabingwa makundi itapata aibu

    Maelezo mengi lakini hujajibu swali msingi uliloulizwa. Wewe ndio ungekua kocha ungefanya nini?? Jibu swali hilo kwanza.
  3. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania MBANAGA CHAKE HANA KONDO.(If you spoil what is your own you have no quarrel)

    Tulikua nchi 2 zilizo ungana ila sasahivi tuna nchi mbili zilizo ungana lakini moja (zanzibar) ina mamlaka kamili na haitakiwi kabisa kuingiliwa kwy mambo yako ilhali hii nchi nyingine (Tanganyika) haitakiwi kabisa ijulikane kama ipo bali ilikufa baada ya muungano na ukiitaja hata kwa kuiulizia...
  4. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Na sio namna ya kutengeneza tu, kawapa na DESA kabisa wabadirishe lugha tu.
  5. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Hata Mimi siko tayali kuthibitisha hayo ndugu Mwandishi. Naomba maelezo yangu yapokelewe na mahakama kama PDW 2
  6. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Na kwa kweli uamuzi wa kujitetea mwenyewe umefanya utetezi wake uwe bora sana. Siamini kama mawakili wake wangefanya kama alivyofanya yeye kwa ubora huo.
  7. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu treni ni huu; Wengi Hawaujui

    Hakika watu mna genye za hatari Tayali mkonga juu kusikia treni demu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  8. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Asante sana! Acha nikubali kuwa imetosha maana natamani uendelee kuelezea zaidi na zaidi haichoshi kusoma na kila unavyoeleza vinaibuka vitu vingine vipya vizuri zaidi. Hatutamaliza.
  9. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Natamani ungechambua zaidi hiyo paragraph ya mwisho hapo juu kama itakupendeza.
  10. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Simple and Clear explanation. Umeiweka vizuri sana kwa kifupi, straight na lugha rahisi kueleweka. Infact, umefanya summary ya karibu vitabu vitatu vyenye kurasa 250+ kwa just that short paragraph. Asante sana.
  11. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Daaah! Sijatamani ufafanuzi wako ufike mwisho. Umeongea vizuri sana lakini naona kama uongeze zaidi au kama kuna kitabu urecommend tukipitie. Asante sana.
  12. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Nafikiri hiyo theory ya positive thinking kwy huo mfano wako ndipo inapofanya kazi vizuri zaidi kwa tafsiri yangu kuliko mwanzoni. Kwamba unapopata Negative results, usijute, kuuzunika au kukata tamaa. Badala yake fikiria kuna kitu hukukifanyia kazi vyema mwanzo hivyo fikiria namna ya kujaribu...
  13. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

    Kwenye hii comment yako kuna kitu muhimu sana umegusia ambacho ni exactly opposite to your thread. Kwanini ni rahisi sana Negative thoughts kutokea kuliko positive. Binafsi nina ushuhuda wa watu au mie mwenyewe katika mambo mengi. If I have to rate, 1. Negative thinking: above 60% happened...
  14. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Ajali Zinatumaliza Watanzania

    Unajitahidi kufanya yote hayo, safari ndefu toka mwanza kuja dar, unafika mlandizi anakuja traffic anakulazimishia kosa ili utoe chochote na ukiwa umeanza kuchoka unafanyaje hapo? Kosa eti ume overtake lori wakati lilikua limesimama na mbele kulikua clear......??!!
  15. SaidAlly

    JamiiForums Tanzania Japo Mungu Ndie Muumba wa Dunia Hii, Inawezekana ni Shetani Ndie Mtawala wa Dunia Hii?, Haiwezekani WaKweli Wana Sulubiwa Huku Mungu Anaangalia Tuu!

    Hakika umeyatafakari kwa kina sana mambo haya. Asante kwa kutushirikisha mtazamo wako umetufungulia mlango mwingine wa kuyatafakari mambo haya kwa angle nyingine pia. Asante sana.
Back
Top Bottom