Recent content by Said Shabani Kondo

  1. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Huyu mama ni nani? Ni usalama wa taifa? Namuona sana na mke wa Dr Shein

    Mlinzi wa Mama kwani vipi
  2. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania NIDA kuna uzembe, mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho cha Taifa

    Mimi nna miaka mitano Hadi leo sijapata icho kitu kinachoitwa kitambulisho Cha uraiha
  3. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Kama Magufuli angekuwepo tusingechezewa hivi na Tigo

    Punguza Jazba
  4. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Dar kama kuna Baridi hivi huko mikoani vipi, tupeane updates

    Nimetokea Makete nyuzi joto ni 4°C Nikalala Njombe nyuzi joto ni 7°C kiufupi Kuna baridi Mimi sikuzote izo nilizokaa kiukweli sijaoga
  5. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Umesahau Matumla s Matumla wa kirombero kidatu Morogoro
  6. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa 'Makahaba' wa Mkoani Njombe nimeupenda na nashauri 'Uenziwe' nchi nzima

    Njombe nimetokea juzi uko hakufai hata kurumagia Sasa wewe jichanganye uanzekula mbaazi
  7. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Funzo Kwa akina Dada wenye tamaa mpende MTU kutoka Moyoni na siyo utajiri Wala pesa ukifuata pesa yatakukuta Kama haya
  8. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Je, wenye majumba ya kifahari Mbezi hufanya biashara gani?

    Usha sema Daimond na uyo mpinzani wake kwani kazi zao huzijuwi? Nawewe anza kuimba kata viuno mwisho wasiku nawewe utajikuta unaishi mbezi
  9. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Bint mrembo zaidi sijapata kuona AISE MUNGU FUNDi

    Wakawaida sana njoo Tanzania sehem inaitwa Singida utajuwa hujuwi
  10. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Bint mrembo zaidi sijapata kuona AISE MUNGU FUNDi

    Anajuwa kulima? Au
  11. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Bint mrembo zaidi sijapata kuona AISE MUNGU FUNDi

    Kaumbika au kajaa jaaa?
  12. Said Shabani Kondo

    JamiiForums Tanzania Hili la mlinzi wa Rais kutembea mguu nje ikoje?

    Hahahahahahaha nimecheka kwa Sauti
Back
Top Bottom