Mmmmmm wote wanakuwa wamekubaliana kutongozana, kuvuliana nguo, mpaka hatua ya mwisho wanapeana ushirikiano mwanzo mwisho kwa hiyo hakuna pande ya kulaumiwa
naaaaam,hiyo ndio maana ya demokrasia na nchi kuwa na watu wake kuwa huru,acheni mtu aseme ,wananchi kama mimi wewe tutachambua na kufuatilia ukweli uko wapi lakini pia wanatusaidia kupata habari ambazo hatuna ,lissu sema hii ni nchi yetu sote sio ya akina fulani tuu una unauhuru ,hizi ni zama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.