Recent content by saganda2

  1. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Mwache asome.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe - Tulipounda Tume ya katiba did we mean kupata katiba mpya au katiba nyingine

    Filikunjombe anajitambua na penye ukweli huwa hamgunyi maneno.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Shivji: Mimi ni muumini serikali mbili

    Pro Shivji pamoja na usomi wake anashindwa kuwa na msimamo, amekuwa mlevi wa uongo na kuukana ukweli hata anaouamini yeye kisa kapewa chochote. Ni dhambi kubwa sana kukumbatia uovu ungali ukweli upo wazi!!! He is now incredible!!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba afunguka, asikitishwa na kauli za viongozi wa CCM

    Judge Warioba ni mzalendo wa kweli na anaona mbele hivo kwa wanaompuuza wanapoteza mda coz kazi yake yeye alishamaliza!!!
  5. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wakishinda Kalenga nitarudi nyumbani kwa miguu...

    Wanaoshiriki kwenye uchaguzi ni wanakalenga ambao wanapiga kura sasa wewe unayesema utatembea kwa miguu kwenda kurudisha Jimbo sijui umefikiria nini mpaka ukatamka hivo.
Back
Top Bottom