Recent content by Safy

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ananipenda sana, ila umri wake mkubwa na ana watoto wawili

    Umesema wakati mnaanza ulijua ni wa kupita, je sasa hivi unamuonaje? kama unaona anakufaa muoe suala la kuwa na watoto sio issue ya kukutia shaka as long as umeamua kuishi nae, na kama unaona hakufai mueleze ukweli na muache mapema ili usiendelee kumpotezea muda zaidi pengine atapata mwingine...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto - watuhumiwa Escrow kuhojiwa kwa siri

    hii ndio tanzania yetu ndugu zangu, unafikiri kuna jipya litakalokuja? wakiambiwa wasichanganye siasa na biashara ugomvi, katiba inayomtaka mbunge awajibishwe na wananchi hawaitaki, mawaziri wasitokane na ubunge hawataki, kuna maslahi ya watu huo jamani!!
  3. S

  4. S

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wembamba hawadumu kwenye ndoa

    Hiyo ndio naisikia kwako, kiukweli umejitafiti mwenyewe
Back
Top Bottom