wanyama pori sio mifugo, so ukisoma mifugo utatibu wanyama wafugwao, unaweza kusoma wildlife hata PHD na pai usipate nafasi, cha msingi panua ufahamu wako,usiwazie TANAPA waza worldwide the let it happen accidental cause ukuwa very narrow ni risk, u might regret