Mimi kwa uchunguzi wangu binafsi,nimebaini vibali vinatolewa kwa first in first out(na wanajitahidi ndani ya miezi mitatu),lakini pia nadhani taasisi unayokwenda inaweza kuomba kwa KM kuharakishiwa kupelekewa mtumishi. Hili niligundua siku ambayo watu wawili kwa pamoja ninaowajua kupata kibali...
Hii nimeona tarehe 1/9/2026.......,ila barua ilitumwa ninakokwenda na ninakotoka wiki moja kabla ya mimi kuona mabadiliko. Nilipigiwa simu kwenda kuchukua barua kabla ya kuona mabadiliko haya.
Vacancy request inahusisha taasisi mbili,unapotoka(mwajiri wa sasa) na unapokwenda(Destination organisation) na kote wanao approve/Reject ni head of institution. Sasa kama mwajiri ame-approve(kuonesha yupo tayari kuruhusu uondoke) haja-reject na taasisi unayokwenda waka-approve (kuonesha wapo...
Yani uliomba vacancy Request na mwajiri akaipitisha iende destination organisation halafu kwenye ku-initiate transfer mwajiri huyohuyo aweke comment ngumu!Nadhani hata wao watamshangaa
Ndugu,kuna watu wameomba July na wameshapata vibali,wakati wengine bado. Naona unashangaa kwamba ombi lipo utumishi na May wameshapata vibali,yeye bado. Hapo cha muhimu azingatie huo ushauri wa kwamba awasiliane na utumishi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.