Recent content by safety

  1. S

    Chonde chonde Vodacom tanzania acheni wizi

    kwa kweli nilijua tu kwangu yaani huu ni wizi vodacom menu yenu kuna wakati mnapunguza namba kuna wakati mnaongeza ili mradi mteja asipate kununua muda kutoka na pesa yake. na kama umenunua muda na pesa ikibaki ukipiga wanachukua yote iliopo kwenye simu huu ni wizi
  2. S

    Kwanini vijana wa siku hizi wanapenda mahusiano na watu waliowazidi sana Umri?

    Ninachoomba wana jamii tujadiliane kwa kina na tuwe huru kuliongelea hili, kwani kila siku inavyozidi kwenda hali imeongezeka. Baadhi ya vijana wanadai wanafuata mapenzi wakati wamama wao wanasema pamoja na Umri mkubwa walionao ndani ya nafsi zao wanajiona ni vijana wadogo, nguvu na...
  3. S

    Kwanini WALIMU wamekuwa wana nafasi kubwa zaidi ya kuolewa?

    Mie naona kawa Uwalimu una toa ajiri nyingi kwa watoto wa kike ndo maana tunaona kama walimu ndo wengi wanaolewa lakini si kweli kuolewa kwa mtoto wa kike sio kazi anayofanya inategemea tabia na utayari wake kuwa Mke
  4. S

    Thamani ya uzuri wako ni kumpata yule anayeuthamini huo uzuri wako na kukupenda kwa dhati

    hii inaumiza kuliko yote pamoja uzuri na mvuto ulionao yule mmoja unae mpenda haoni hayo
  5. S

    Hivi mkeo akiwa mja mzito mwanaume atafute wapi mbinu mbadala za kujiridhisha kimapenzi?

    kuhusu kuzaa kwa operation kuwa mtu anachelewa kuja kufanya tendo sio kweli mie mwenyewe nimeshazaa watoto wa tatu kwa operation na ndani ya siku 40 niliweza kuendelea ingawa haikuwa kwa nguvu ile ila niloweza mridhisha mwenzangu bila matatizo inategemea mtu na mtu. na operation zangu zilitokana...
  6. S

    My X-girlfriend Anaomba nimsaidie wakati ana mume.

    inaonekaba huyo dada na jamaa yake wanapenda na wewe wanakutumia na ndo maana huyo dada wakato wote anaomba msaada kwako akijua utampa kiukweli hakupendi tena acha kutumika tengeneza maisha yako na kama ulivyosema umeamua kuwa single kwa kuto waamini wanawake kwanini waendelea kumuamini huyo ex...
Back
Top Bottom