Recent content by SafariAutomotive

  1. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Maisha ni kujifunza Maswali yote ni muhimu Dahsboard - ni eneo la mbele la gari kwa ndani( kuna ya juu Na ya chini), ni sehemu ambayo ni muhimu Na makini kwmeye gari. Kuna dahsboard zimeyengrnezwa Na material tofauti kutokana Na mwaka wa gari Na utofauti wa designer wa magari hayo. Kwa sasa...
  2. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    TUNACHORA SIYO KUSHONA @safari_automotive 0754757431 Karibuni TUNA CHORA
  3. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Habari ya asubuhi Kila kitu kina utaratibu wake Sir, ingekuwa rahisi tungetoa Bei zote tena kwa mfumo Mpya kabisa lakini hapa tunafanya kazi na magari zaidi ya aina 100 naanzia wapi kutaja bei tu. Alafu ni rahisi sana wote mnaweza kuwa Na Toyota IST ya mwaka Na model moja lakini uhitaji...
  4. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Issue ya dahsboard kwanzia may 2020 -October 2020 tulikuwa Na 50% off dashboard ilikuwa laki 3 tu ndani ya 24 hours Ulikuwa wapi boss wangu
  5. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Sawa kabisa hilo limepita ukitaka real leather unapata toa order tu the rest becomes history
  6. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Usiogope bei Ug Opa ubora unakaa nazo mpaka unachoka
  7. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Hiyo Seatcovers ni ya @safari_automotive custom made Mteja anavyotaka taste yake Na tamanio lake
  8. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Bei bei kizuri inabidi ukigharamie ndiyo ukiheshu.
  9. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Ukweli SAFARI Automotive Tunajitahidi sana kwmeye huduma kwa ofisi yoyote utakayoenda utapigwa Na butwaa- huduma nzuri sana sijui huyu my Mteja wetu nini kilimtokea- pole sana
  10. SafariAutomotive

    Hizi seat covers za Safari Automotive ni next level

    Pole sana kwa yaliyokukuta nia Na dhumuni la SAFARI Automotive siku zote ni kukupa huduma Bora Na kazi yenye Ubunifu mkubwa sana. tunamshukuru Mungu sana watanzania wametupa support kubwa sana - Na ata nilipoambiwa nije huku kuangalia maoni yenu Na kujibu nilikimbia faster kwasababu kwetu kila...
Back
Top Bottom