Recent content by safari ya matumaini

  1. S

    Edward Lowassa achukua fomu kugombea Urais mjini Dodoma

    Lowassa hayupo jf,na kila anachofanya Lowassa rais Jakaya Kikwete anajua
  2. S

    Lowassa anakusudia kujitoa mbio za Urais

    Mnamfahamu Edward Ngoyai Lowassa au mnamsikia.....mnajiuliza maswali na kujijibu wenyewe,Lowassa ndo rais 2015 mtake msitake
  3. S

    Lowassa avamia mikutano ya CHADEMA Monduli

    Acheni majungu,mbona kama mnamwandama sana mzee edward lowassa
  4. S

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    MH. ERWARD LOWASSA NA VITA DHIDI YA TAALUMA YA MITANDAO YA KIJAMII (TROLL). Tangu tarehe 7/02/2008 ambapo kiongozi mzaliwa wa Ngarash Monduli mwaka 1953 ajiuzulu nafasi ya uwaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa iliyoitwa scandal ya Richmond imepita miaka kadhaa ambapo mimi pia...
  5. S

    Joshua Nassari: Hakuna wa kunitoa Arumeru

    Sioi atakutoa mwakani
  6. S

    Lowassa: Kwa kupitishwa sababu hizi kamati kuu (CC), May 2015 nagombea urais wa JMT

    MH. EDWARD LOWASSA KWASABABU HIZI KUPITISHWA NA KAMATI KUU (CC) MAY 2015 KUGOMBEA URAIS WA JMT. Maisha ya watanzania yamekua magumu mno,sasa sukari ipo juu ikiwa ardhi na mabonde kama ruvu mtibwa na kageara tunayo, umeme usio wa uhakika wakati gesi ya mtwara na RUBADA, madawa hakuna...
  7. S

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Mwisho wa Siku Wenye Busara Hujiuliza Ni Nani Anakubalika? - Benjamin William Mkapa Salaam; Kama kawaida yake Rais Jasiri na asiyemumunya maneno leo kazungumza mengi sana wakati akihojiwa na Runinga ya Citizen kwa njia ya simu.Rais Msataafu Benjamin Mkapa alikuwa akihojiwa juu ya kifo cha Rais...
  8. S

    Madai ya Nyerere Kumkataa Lowassa, ukweli na ushahidi huu hapa

    Mtamsema Mhe Lowassa vibaya,mtamtukana sana ila kilichochaguliwa na mungu mwanadamu hawezi kukizuia.....2015 TWENDE NA LOWASSA
  9. S

    Lowassa: Utajiri wangu usitumike kwa lengo la kuchafuana katika siasa, ndugu zangu aliyepata amepata

    Kila siku lowassa inaonekana anawaumiza sana vichwa...penye nia pana njia Lowassa hajatangaza kuutaka urais nyie ndio mnaomtangazia
  10. S

    Pinda amtibua Lowassa

    Kila siku Lowassa kawafanya nn kumbukeni kwamba hajatangaza nia ya kuutaka URAIS mbona mnamuwaza sana au ni chaguo sahihi kwa WATANZANIA
  11. S

    Ukimya wa Lowassa kuna Siri nzito

    maandiko yatatimia saa na wakati ukifika
Back
Top Bottom