Recent content by safari ndefu

  1. S

    Amatus Liyumba: Balaa!

    Je, huyu Lyiumba ni yule ambaye amesababisha mama mmoja na wasichana wawili kufungwa miaka 5 na saba tarehe 25/7/08 Mahakama ya Kisutu?.
  2. S

    Mzee Mwinyi awachomekea kizenji!

    Raisi mstaafu Mwinyi hana jipya: Matamshi ya raisi mstaafu Mwinyi kwamba rushwa na ufisadi ni kutokana na viongozi waliosoma lakini hawajaelimika ni upuuzi mtupu. Hata mtoto mdogo anajuwa kwamba rushwa na ufisadi unaoshamiri sasa ni kutokana na uongozi mbovu wa ccm chama tawala ambacho...
Back
Top Bottom