Recent content by Saduu

  1. S

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Hahaha salumu sultan ?? Hapana kaka
  2. S

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Haya kaka Tulisoma darasa Moja na mwalimu wetu wa darasa mr lowali...wape hi wakina baru,elisha,mrutu,thomson na mtutuma
  3. S

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    Bila shaka ulisoma 1 na 2 D...na huyo manyanza atakua manyanza zakayo form 3 na 4 Q
  4. S

    DOKEZO Hospitali ya Kairuki wahuni wachunguzwe. Kila mgonjwa wa Bima anaumwa Helicobacter pylori (H. Pylori)

    Hahahaha umenikumbusha juzi,wife alikua anaumwa nikampeleka hospital Moja ya private,wife kajieleza ana mafua,homa na kifua wakamdirect kwa docta wa alege!!!mara eti damu sijui imaefanyaje madawa karibu 200k..nkakwambia kachukue kipimo cha mimba usinywe madawa,kupima kumbe mja mzito...hizi...
  5. S

    Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Kuna wakati Askari ambao si waaminifu wanasingia watu makosa!!ukiwa unatoka mwenge mpakani ukunje mataa kuelekea makongo kuna zebra!!taa zilipowaka nikavuka mara paap askari kanisimamisha!akanambia leta leseni yako nami bila kuchelewa nikampatia,akanambia nakuandikia faini umesimama mbele ya...
  6. S

    Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

    Ni mara ngapi izo daladala zinasimama ovyo barabarani na hawachukuliwi hatua?askari hawapo?daladala haisimami kwenye zebra na haichukuliwi hatua sasa usisimame wewe mwenye gari ndogo!!kwenye mataa bajaji hazisimami na hawazikamati kwa sababu gani??wanaolia Humu wengi wenye gari ndogo na Ndio...
  7. S

    Zebra Crossing: Mgodi wa Trafiki na Polisi wa kawaida

    Kwan kuna mtu hafuati sheria!!tupe namna ya kuvuka manzese au mbagala rangi tatu
  8. S

    Zebra Crossing: Mgodi wa Trafiki na Polisi wa kawaida

    Uko sahihi kabisa kongole!!mfano tunduma kuna wakati taa zinawaka kuruhusu waenda kwa miguu na kuna wakati zinawaka kuruhusu magari!!shida ya askari hawataki kutoa elimu kwa waenda kwa miguu wao kazi ni kusumbua wenye magari tu
  9. S

    Zebra Crossing: Mgodi wa Trafiki na Polisi wa kawaida

    Kuna hili la stand kufatana na zebra,mfano magomeni mwembechai na manzese!!umesimama kumruhusu apite anakupa ishara wewe endelea kumbe yeye ni abiria na anasubiri daladala na unafika mbele polisi wanakukamata!!hii imekaaje?
  10. S

    Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Mtoa mada hajaongea ukweli wowote hapo!mwanadamu mwenye imani ya kiislam anapofariki inatakiwa aoshwe,kukafiniwa (kuvishwa vazi la sanda) ,kusaliwa na mwisho kabisa kuzikwa.Katika tendo la kuosha muoshaji ataminya tumbo la marehemu kama kuna uchafu utoke kwa sababu maiti ya kiislam inapokelewa...
  11. S

    Nimechoka kuwa na wanawake wa walinzi wa taifa

    Kama una ugenious flan hivi
  12. S

    Wanawake wanapitia mateso na manyanyaso makubwa sana kwa wanaume zao

    Kaka msamehe huyo dada,tatizo la wanawake wengi wakati wapo kwenye migogoro ya mapenzi na wenza wao hudanganyika na wanaume wanaokea kwa mara ya kwanza lakini in abnormal situations..wewe unamlipia kodi laki 2 lakini akiwa kwenye mgogoro na mtu akamlipia kodi sehemu ya laki 4 humuona huyo mtu ni...
  13. S

    TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

    Rest In Peace....cc azaboy tutakukumbuka daima
Back
Top Bottom