MAT ni chama cha hiyari, ingawa hakina nguvu yeyote katika mustakabali mzima wa ajira ya mtu, kinabaki kuwa chama pekee kinachoweza kuwaunganisha madaktari pamoja, Tanganyika Medical Council(TMC) pekee ndiyo inayoweza kumfutia usajili, ambayo na yeye ni member wa hiyo Council kwa nafasi yake.