Recent content by Sadocks

  1. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Bei Ya Mahindi Hapo Mkoani Kwako

    Hii ni changamoto sana . Wanao nufaika zaidi ni wafanya biashara
  2. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Bei Ya Mahindi Hapo Mkoani Kwako

    😂😂 Kwanini mkuu ?
  3. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Bei Ya Mahindi Hapo Mkoani Kwako

    Mkoa gani hapo mkuu ?
  4. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Bei Ya Mahindi Hapo Mkoani Kwako

    Naomba kujua bei ya mahindi hapo mkoani kwako
  5. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Housegirl amchoma kisu mgeni baada ya kuambiwa “una roho mbaya kama sura yako”

    Mmmmm ! Sikuhizi watu ni kama wanyamà
  6. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Natafuta stoo ya kuweka dagaa wa Bukoba

    Kama uko Arusha au unamfahamu mtu yeyote mwenye stoo, naomba tuwasiliane kwa namba hii: 0629 255 677 . Nitumie hata sms. Natafuta stoo ya kuhifadhia mzigo wa dagaa. Niko Arusha. Asanteni sana.
  7. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Dagaa wa Bukoba kwa bei nafuu

    Kaka, niko Arusha natafuta stoo ya dagaa: 0629 255 667. Naomba tuwasiliane. Asante sana.
  8. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Wadau Natafuta Stoo Ya Kuhifadhia Dagaa Arusha

    Kama uko Arusha au unamfahamu mtu yeyote mwenye stoo, naomba tuwasiliane kwa namba hii: 0629 255 677 . Nitumie hata sms. Natafuta stoo ya kuhifadhia mzigo wa dagaa. Asanteni sana.
  9. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Bei sijajua hasa ni shilingi ngapi kwa sasa. Gharama zingine, niza muhimu na kawaida tu. Kama una connection; naomba.
  10. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Arusha. Mtaji wa Gunia kama tano hivi.
  11. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Arusha. Mtaji wa Gunia kama tano hivi.
  12. Sadocks

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Wadau; kama kuna mtu yuko Bukoba; naomba aniambie kuhusu bei ya dagaa ni kiasi gani kwa ndoo. Pia kama inawezekana; anipe namba; nahitaji kuanza biashara hiyo. Asanteni.
Back
Top Bottom