Recent content by SADICK SANGA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la wachawi lamuombea Rais Putin

    B
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la wachawi lamuombea Rais Putin

    Nguvu za giza hazina uwezo wowote wa kuombea amani kwani wachawi baba yao ni shetani, na shetani ni baba wa uasi yeye ni kuleta uharibifu tu na sio kuleta amani hata siku moja. Navunja dua za kishetani zote zishindwe ktk jina la YESU KRISTO jina lipitalo majina yote,(Luka 1:37) Amen.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jeshi la polisi limeua Majambazi wanane usiku wa kuamkia leo 26.1.2019

    Majambazi mengine yapo njombe yanaiba Watoto polisi waende huko, hawana raha kabisa wananch wa njombe.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jeshi la polisi limeua Majambazi wanane usiku wa kuamkia leo 26.1.2019

    Nawapongeza sana hao polisi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ ashikiliwa na Polisi kwa kumpa mimba Mwanafunzi

    Utakut yupo mtaani siku siyo nyingi sikuizi wanafungwa wanyonge sio hao wakubwa!.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Venezuela: Kiongozi wa upinzani amejitangaza kuwa rais wa mpito

    Mungu inusuru Venezuela isiingie kwenye majanga
Back
Top Bottom