Mwanza: Jeshi la polisi limeua Majambazi wanane usiku wa kuamkia leo 26.1.2019

Watu nane wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa usiku wa kuamkia leo katika kisiwa cha Ukerewe jijini Mwanza kwenye majibizano ya risasi na Jeshi la polisi.

"Kikosi jasiri kimepambana ana kwa ana na majambazi yapatayo 10, katika mapambano hayo katika eneo la kwanza walifanikiwa kuua majambazi watano, waliwapekuwa na kuwakuta na silaa na mali walizopora," amesema Kamanda Mkoa wa Mwanza, Janathan Shana.

Ameendelea kwa kusema katika tukio lingine ambapo walipatiwa taarifa na dereva bodaboda walifanikiwa kuwaua majambazi watu na wawili walifanikiwa kukimbia.View attachment 1005370
kwa muonekano hawa sidhani kama ni majambazi kama siyo vibaka. Hawa polisi sasa naona wameamua kuua watu kiholela.
 
Nawapongeza sana police kwa kuhakikisha raia wanakuwa salama..japo njia ya kuua wahalifu inaleta ukakasi kidogo. Kwa hiyo kama hapo Askari wote walioshiriki hiyo operation kesho IGP atawapandisha cheo? (Kama alivyoagiza Mtukufu Rais wetu)
 
ww ni mpumbavu wa kiasi gani huelewi jambo dogo lisilohitaji degree?
HIVI KAMA WATU WAMEONYESHA REACTION YA KUJIBIZANA RISASI NA POLISI, ulitaka hadi wakutie risasi ndio useme kweli ni majambazi
Tulia kaka mbona unahamaki? Una ushahidi gani kama hilo lilitokea?
 
Tunaambiwa askari wako trained kumneutralize mhalifu, mwanajeshi yuko trained kuua.

Enhe..?
 
Tumesikia upande mmoja, wapili bado! Kuna ushahidi gani kuwa walikuwa majambazi?
Kuna ushahidi mzuri ambao wangekuwa wanapongezana walivyowapapua wavuja jasho huku wakiwa na vinywaj vya pale Iloganzala au kule Igoma, tena wakiwa Vilapack,Diamond au hata Malaika wangeenda! "Kwangu mie ni bora umuue asiyestahili kuliko kumwacha jambazi abaki na roho yake" haki za binadam n co povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawatafute wale wa Mbeya waliowapa watu biskuti halafu wakawasiraaa mpk wamelazwa hsptl
 
Siku mama yako akimwagwa utumbo na majambazi utaelewa maana ya jeshi la polisi na utajua umuhimu wao... hata raia wa kenya walikuwa wakiwadharau hivi lakini baada ya matukio fulani wameanza kuwaheshimu
Siku mama yako akimwagwa utumbo kwa kuhofiwa ni jambazi utajua kwanini kuna umuhimu wa kuthibitisha ikiwa mshukiwa ni jambazi kweli au Lah.
 
Back
Top Bottom