Recent content by Sadick Nkinda

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tuliokosa mkopo tushauriane cha kufanya

    Mm ninao bana nimepata na wana andika hivi loan allocation for the first time cont
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo yatenga bilioni 34.6 kwa wanafunzi 10,196 waliofanyiwa uchambuzi awamu ya kwanza 2017/2018

    Vipi mbona wanasema ni first year tu je wanaoendelea inakuaje hapo sielewi nina chalii yangu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naomba wimbo "Tazama ramani"

    Ingia Tubidy andika Ramani utakuja mm nimeupakuwa saivi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kuwa uliza Bodi ya Mikopo, na hili ndilo jibu lao

    Saut tear majina 600
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

    ila mna haraka sana majina si yatatolewa ya waliopata mbona mna haraka bandugu then lazima uambiwe hujapata mkopo kwani kuna aliyepata hadi upewe
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

    Nyie mnaonekana mnajua kuchokonoa sana ngoj mpate presha majina ya waliopata yatatoka ndo utaratib sasa kam vi mb vya jero vinawasumbua ngojen mpate bp
  7. S

    JamiiForums Tanzania Jaamani nani amefanikiwa kuona majina ya watu waliokosea Mikopo wanafunzi

    Weka namba yako ya watsap nikurushie
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye mawasiliano ya Kirinjiko Islamic High School anipatie

    Kuna jmaa mmja nilisom nae yuko pale ni teacher
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka

    Jamani hivi form six wanahusika katika ku apply dip au ni dip ndo wana aply kwend degreee na je kwa wale form six waliokosa sifa za kwenda degree nin hatima yao ....
  10. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta kipaumbele cha Mkopo kwenye ualimu wa sanaa

    uwe makini katika kusoma hata sekomu ipo priority, makumira ipo pitia vizuri kijana ndo uje huku
  11. S

    JamiiForums Tanzania TCU vipi Diploma Guidebook?

    acheni kupanik Sikh INA Massa 24 sasa wewe ulijua TCU Ni mgahawa kuwa wanadamkia kuuza chai ..halafu hukufuatilia pia guidebook ya degree walisema hvyo hivyo ILS waliwek kwenye SAA tatu usiku sasa kijan usilalmike wakati Sikh bado haijaisha ...subir ifike kesho ndo ulete Uzi wako
  12. S

    JamiiForums Tanzania Guidebook hiyoooo

    http://www.tcu.go.tz/images/documents/Undergraduare_Admission_Guidebook_2016_2017.pdf
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM warudishwa 382 tu

    hao 380 ni wale wanaobaki udom then hao wengine wamepangwa vyuo vya serikal au unatak nikulrtee link udawn lod usiprnd kuchukua habri juu juu kama demu
Back
Top Bottom