Recent content by Saba_Spare supplies

  1. Saba_Spare supplies

    Fundi mzuri wa gari za nissan

    Nina fundi wangu wa uhakika,💯‼️🔥anatibu gari za Japan, Europe na marekani Suleiman kondo +255 654 961 992 Mtafute, na uhakika itapona kwenye mikono yake
  2. Saba_Spare supplies

    Naomba support ya kufollow Insta Account yetu

    Habarini wadau naomba support yenu kufollow our insta Account 🙏🏾 hapo kwenye picha AU Bonyeza link hii kuingia https://www.instagram.com/7spares?igsh=bWx5dDB5c3BqazU5 Nashukuru kwa Mda wenu, Mungu awabiriki✨
  3. Saba_Spare supplies

    Je unasumbuka na vipuli vya Mini Cooper? Sululisho liko apa!

    Sio kila mtu anayeposti tangazo ni tapeli au mwizi, omba taarifa zake ili upate kumdadasi ufanye maamuzi. Na pia jiheshimu na upunguze kukurupuka kujibu ovyoovyo maana baadaye unadhalilika mwenyewe
  4. Saba_Spare supplies

    Je unasumbuka na vipuli vya Mini Cooper? Sululisho liko apa!

    Agiza spare za mini cooper nasi kwa bei nzuri ( jumla na reja reja ) Tunatuma kwa njia ya ndege au maji Uwazi na muda ni kauli yetu mbiu Kwa ihitaji comment " Order " tukuhudumie Karibuni sana
  5. Saba_Spare supplies

    Land Rover Discovery 4 - Mega thread

    Nakuruhusu uje gerej kwetu uone 0689843760
  6. Saba_Spare supplies

    Una changamoto ya spare za Mini cooper yako? Sululisho liko hapa!

    Karibu uagize spare za mini cooper kuanzia engine, vifaa vya umeme, vilainishi na mengineyo kwa jumla na rejareja Wa ndege,Vifaa hufika ndani ya siku 5 hadi 7 na kwa meli/maji ni siku 40 kulingana upakiaji na usafirishaji. Ndege ipo ya jumatatu, jumatano na ijumaa na kwa kilo ni dola 12...
  7. Saba_Spare supplies

    Gari zuri kati ya NISSAN X TRAIL na SUBARU FORESTER

    Mpya iliyosimama ni mil 36, maongezi yapo.
  8. Saba_Spare supplies

    Ijue Premio ya Kijerumani, Volkswagen Passat 1.4 L TSI

    Magari ya wazungu matamu brother, yakikukamata hutoki.
  9. Saba_Spare supplies

    Ijue Premio ya Kijerumani, Volkswagen Passat 1.4 L TSI

    Ninachoamini, saloon nyingi ni zimeundwa kwa ajili ya barabara za mijini japo kwa nyingine unaweza kuendesha kwenye light gravel ila sio barabara mbovu zenye mashimo, mawe na utelezi mkubwa. Japo ground clearance yake iko chini Gari hii ni ngumu, inamudu barabara inategemea na uendeshaji wako...
  10. Saba_Spare supplies

    Ijue Premio ya Kijerumani, Volkswagen Passat 1.4 L TSI

    Habari wadau! Leo ningependa tuzungumze kusuhusu hii mashine ya kijerumani brand ya Volkswagen iitwayo Passat 1.4L TSI. So ningependa ku summarize kidogo baadhi ya mambo. Ni gari aina ya saloon au sedan yenye Turbo charge petrol engine inayokutumia mafuta 16-18 L/km, tanki la mafuta ni litre...
Back
Top Bottom