Recent content by saadala muaza

  1. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi:Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni.Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu na kunishtua toka usingizini ambako nilikuwa nimelala fo!fo!fo! "Chima! Chima! Chima mme wangu tumbo...
  2. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda inawezekana

    Thanks
  3. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda inawezekana

    TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA Kuiga kizuri si dhambi.Ni vyema tukarudi nyuma mpaka katikati ya karne ya 18.Uingereza ilikuwa na uchumi wa kati na ni hata nyuma zaidi ya hapa tulipo sisi sasa.Si hili tu India pia ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa vijana wengi na familia nyingi zenye maisha ya...
  4. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Hahaha inawezekana nikawa na maono ya babu yetuuuu
  5. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    Thanks
  6. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Sitalisahau kaburi lako Madalitso

    SITALISAHAU KABURI LAKO MADALITSO Mwandishi: Saadala Muaza --- Ilikuwa ni saa kumi na mbili takribani na dakika arobaini na saba za jioni. Sauti yako ikapenyeza hadi kwenye ngoma za sikio langu na kunishtua toka usingizini ambako nilikuwa nimelala fo!fo!fo! "Chima! Chima! Chima mme wangu...
  7. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maajabu ya Ng'wana Malundi

    Ni ya kweli bro mpaka na maeneo kama bismark pale mwanza ,Nyandekwa inayopatikana Igunga Tabora kuna mawo hayo yenye hizo alama .pia mwanamalundi alitembea baharini maeneo ya visiwani zanzibar baada ya kufungwa huko kwa takribani miaka mitatu na aliporudishwa alipanda ndege ya wajeruman na ndo...
  8. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maajabu ya Ng'wana Malundi

    Hahahaaa ya Mungu mengi bro ni kama KILONGOJA tu au JPM alivyokufa
  9. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Wengine tuko huko na ni poa sana tuu mpaka na shavuuu
  10. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Bro endelea na hiyo love utastuka unamiaka sabini.madem mia na huna mtoto au kula mtoto na msmaee
  11. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hahahaaa hauko siriaz bro umuulize demu eti una bikra mtotoo?
  12. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Ndio wapo bro ila utamjuajee
  13. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Na ili uwe mwanaume lazima uwe mwenye kufanya maamuzi magumu
  14. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

    Well said broh
Back
Top Bottom